Mrejesho wangu wa tangazo la kutafuta mume humu

Mrejesho wangu wa tangazo la kutafuta mume humu

Mnamo mwaka jana mwezi wa 8 nliweka tangazo la kutafuta mume humu ndani nikarudia tena February mwaka huu, nilipata pm nyingi nyingi tu na nlizijibu kadri ya uwezo wangu.

Nilibahatika kuonana na wakaka wa wawili, hawa ni watu wazima kidogo miaka yao kuanzia 35 na kuendelea wa kwanza tulikutana magomeni tukaongea kupeana basic intro, wa pili tulionana alikuja mitaa ya nyumbani.

Ila hao wote nikiri tu walikuwa wanasisitiza ngono, muingiliano kimwili hata hatujajuana kivile na baadhi ya vitu hatujafahamiana wala kujuana tukaishia hewani.

Kwa kifupi ni kuwa humu kutafuta mume huwezi pata zaidi ya sex partner wanaume ni kama vile wanakuwa wanawinda wanawake, anyway kibongo bongo online dating bado sana, najiandaa kesho kwenda equity bank kufungua akaunti na kujiunga na online transactions nilipie dating sites za mambele huko naamini nitapata mume na nitaleta mrejesho humu.

Nadhani mtajiuliza wht online si mnajua tena single maza ubusy na nini na nini.
wauza utupu kwenye ubora wao
 
Hebu jibu maswali yafuatayo il nkusaidie
1.uliezaa nae yuko wap??
2.Mahusiano yenu yalifkia hatu gan mpaka ukazaa nae??
3.Kwanin hakukuoa???
4.Ushajichunguza mazaifu yako yaliyokufanya uzarishe before mariage??
 
Haiko hivyo.
Ni vile mtu anataka kabla hamjaonana hamjakutana hamjajuana umuhakikishie mzigo, yaani anataka mkutane Lodge siku ya kwanza.
Sasa wewe unaweza?
Sio wote wanao weka ngono mbele...kuna mdada nilikutana naye huku mwaka jana wala siku mvua pichu ingawa yeye alikua willing kabisa....alikua muongo nikaona nisimvue pichu.
 
Sidhani kama amemaanisha hivyo, anachosema yeye wengi wanataka tendo wakati hata hawajafahamiana vizuri... Hivi mwanaume mmekutana mtandaoni meeting ya kwanza ya pili unavua chupi? Lazima mpeane muda wa kufahamiana kwanza aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfahamiane nini tena wakati cha mskngi ni kupeana maraha ya papuchi
 
Sidhani kama amemaanisha hivyo, anachosema yeye wengi wanataka tendo wakati hata hawajafahamiana vizuri... Hivi mwanaume mmekutana mtandaoni meeting ya kwanza ya pili unavua chupi? Lazima mpeane muda wa kufahamiana kwanza aisee

Sent using Jamii Forums mobile app

Siku hizi maisha yamerahisishwa, tunakutana huku tumeshaonana kwenye picha au video calls.

Ikibidi wengine hadi vifanyio wameshaoneshana, kwa mkikutana ni kwa ajili ya kugusanisha tu.
 
Acha kabisaaaaa yaani jamani.
Maisha magumu hivi.
Unaanzaje kumpa mwanaume hela?
Yaani mimi hata mtu akisema nimfate kwa nauli yangu naumia mnooooo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi kuna wadada wana vipato vya juu hatari, yaani kuna wanawake wanakunja 5mil+ kwa mwezi, wao wanachokosa ni kidume wa kuwapa furaha. Na sisi tukishaona mwanamke ana hela nyingi huwa tunaogopa coz wanakuwa na hulka za ku-bully.
 
🤣🤣 Kwa attitude hiyo inawezekana ndo sababu ya kukosa mume, relax..haya Mambo hayahitaji hasira.
Siyo wote wapo kama wewe Demi nakuja huwa hukasiriki hata iweje! Kilichokuongezea uvumilivu ni. Vile una mme tayari. Wasokuwa na waume huwa wanaluzi tempa haraka hasa akiwa na ntoto. Tumvumilie tu, akipata atakuwa sawa.
 
Sasa hivi kuna wadada wana vipato vya juu hatari, yaani kuna wanawake wanakunja 5mil+ kwa mwezi, wao wanachokosa ni kidume wa kuwapa furaha. Na sisi tukishaona mwanamke ana hela nyingi huwa tunaogopa coz wanakuwa na hulka za ku-bully.
Ukila hela ya mwanamke jifunge kibwebwe! Hao akina amu Wana mipesa yao ila ni silka ya mwanamke kuwa bahili na akikupa hela yake kwanza adhabu yako kuzama chumvini na kukuweka dole
 
Siku hizi maisha yamerahisishwa, tunakutana huku tumeshaonana kwenye picha au video calls.

Ikibidi wengine hadi vifanyio wameshaoneshana, kwa mkikutana ni kwa ajili ya kugusanisha tu.
Kweli kabisa mzee mie nakumbuka nilikutana na mrembo toka hapa yaani siku twakutana tulikuwa tayari tunajua tunagegedana tuu.... Na nimtamu huyooo hahahaha
 
Ukila hela ya mwanamke jifunge kibwebwe! Hao akina amu Wana mipesa yao ila ni silka ya mwanamke kuwa bahili na akikupa hela yake kwanza adhabu yako kuzama chumvini na kukuweka dole

Lord have mercy!!!
 
Kweli kabisa mzee mie nakumbuka nilikutana na mrembo toka hapa yaani siku twakutana tulikuwa tayari tunajua tunagegedana tuu.... Na nimtamu huyooo hahahaha

Ndo maisha yalivyo sasa hivi, mahusiano ya kimtandao ni ngumu sana aisee.

Inabidi kuwe na self discipline kama kweli mnataka kuchunguzana, pia uwazi uwe wa kutosha.
 
Lord have mercy!!!
Unadhani ukimzidi umri au hela anaweza kukueleza uzame? Dhubutu utamuweka vibao! Lakini awe nazo, alipe gesti cha kwanza unakurupuka anakueleza dogo subiri, kwanza zama huku hata kule D2
 
Back
Top Bottom