Mrejesho wangu wa tangazo la kutafuta mume humu

Mnamo mwaka jana mwezi wa 8 nliweka tangazo la kutafuta mume humu ndani nikarudia tena February mwaka huu, nilipata pm nyingi nyingi tu na nlizijibu kadri ya uwezo wangu.

Nilibahatika kuonana na wakaka wa wawili, hawa ni watu wazima kidogo miaka yao kuanzia 35 na kuendelea wa kwanza tulikutana magomeni tukaongea kupeana basic intro, wa pili tulionana alikuja mitaa ya nyumbani.

Ila hao wote nikiri tu walikuwa wanasisitiza ngono, muingiliano kimwili hata hatujajuana kivile na baadhi ya vitu hatujafahamiana wala kujuana tukaishia hewani.

Kwa kifupi ni kuwa humu kutafuta mume huwezi pata zaidi ya sex partner wanaume ni kama vile wanakuwa wanawinda wanawake, anyway kibongo bongo online dating bado sana, najiandaa kesho kwenda equity bank kufungua akaunti na kujiunga na online transactions nilipie dating sites za mambele huko naamini nitapata mume na nitaleta mrejesho humu.

Nadhani mtajiuliza wht online si mnajua tena single maza ubusy na nini na nini.
miminimama vipi mrejesho wa online dating sites za mbele, umefanikiwa kupata mume/mchumba huko?
 
Ulichokiandika unaonekana unahitaji sana ndoa kuliko penzi, hivi dunia ya sasa hivi kuna mwanaume atakuoa pasipo kumpa mgegedo kwanza? Na nahisi wewe unaupungufu katika k yako ndo maana unataka kuwabambikia wanaume kupitia ndoa
 
Haiko hivyo.
Ni vile mtu anataka kabla hamjaonana hamjakutana hamjajuana umuhakikishie mzigo, yaani anataka mkutane Lodge siku ya kwanza.
Sasa wewe unaweza?
Ulichokiandika unaonekana unahitaji sana ndoa kuliko penzi, hivi dunia ya sasa hivi kuna mwanaume atakuoa pasipo kumpa mgegedo kwanza? Na nahisi wewe unaupungufu katika k yako ndo maana unataka kuwabambikia wanaume kupitia ndoa
 
Ulichokiandika unaonekana unahitaji sana ndoa kuliko penzi, hivi dunia ya sasa hivi kuna mwanaume atakuoa pasipo kumpa mgegedo kwanza? Na nahisi wewe unaupungufu katika k yako ndo maana unataka kuwabambikia wanaume kupitia ndoa
Sidhani kama amemaanisha hivyo, anachosema yeye wengi wanataka tendo wakati hata hawajafahamiana vizuri... Hivi mwanaume mmekutana mtandaoni meeting ya kwanza ya pili unavua chupi? Lazima mpeane muda wa kufahamiana kwanza aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upungufu wa k ukoje Baba J

Back
Top Bottom