Mrejesho wangu wa tangazo la kutafuta mume humu

Mrejesho wangu wa tangazo la kutafuta mume humu

Mbona mimi nipo sio kama hao jamaa uliowapata....
 
miminimama mpendwa wangu hata usiwinde wakati wa Mungu ukifika utaoata bonge la bwana mpaka utashangaa, kibongo bongo mwanamke kutafuta mwanaume unaonekana upo sokoni, so wewe tulia saka mahela kwanza ya kumlea anko wetu mengine yatajileta baadae.

He he he halafu hayo mafurushi uliyoonana nayo hujatuambia mionekano yao na sisi tuwanange.
 
Hapana sijala hela ya yoyote hata hao wawili nilionana nao mmoja alininunulia chips kavu na juice ya miwa Total sh 2 500 mwingine alikuja kituo cha basi labda gharama yake ni muda wake na nauli tu isiyozidi Tsh 2 000.
Kwa baharia 2500 pakubwa sanaa...!! Alafu hutaki kutoa nyampuu[emoji39][emoji39][emoji2089]
 
Hapana hatukuridhiana na hatukufikia stage ya kuwa wapenzi tulioana kufahamiana mimi nikaona siyo nikakata mawasiliano,na sidhani kama huyo wa 2,500 ni mtu wa kuweza kuidai hapana si mtu wa aina hiyo kabisa.
Kwa baharia 2500 pakubwa sanaa...!! Alafu hutaki kutoa nyampuu[emoji39][emoji39][emoji2089]
 
Huyo kaka aliyemfanyia hivo huyo dada ana dhambi sana.
Mpe pole sana huyo dada, story yake inahuzunisha.
Ukikuta mwanaume ana 35yrs na hajaoa jua kuna kitu hakiko sawa. Kwa huo umri ulouweka wa mwanaume unayemtaka ilikuwa obvious utafeli.
Hongera kwa kuwa makini navitombi wa humu jf.
Ukisikia sehemu kuna mafia wa mapenzi duniani basi jf inaongoza.
Kuna mdada humu ni single mama, aliweka uzi wa kutafuta mwenza kilichomkuta ni cha kusikitisha mnoo.
Alimpata jamaa mmoja, akajichanganya akamvulia chupi, akapachikwa mimba nyingine.
Kuja kufuatilia vzr kumbe jamaa kaoa na ana watoto 2.
Imagine tayari ww ni single mama na huna hata umri mkubwa ni just
Mimi mwenyewe kuna mdada humu aliwekaga uzi wa kutafuta mwenza enzi hizo.
Tukayajenga vzr kabisa, akanihakikishia hajawahi kuwa na serious relationship huko nyuma.
Baada ya mwaka nikaja kugundua ana watoto 3 tena mmoja mkubwa anakaribia kumaliza primary.
Trust me social medias/dating sites ni mahali pazuri pa kupatia mwenza endapo tuu utakuwa na akili na utatumia akili kuchakata mbivu na mbichi.
Huko dating sites unakoenda ndio unaenda kujichanganya mara mia zaidi ya humu jf.
Unless otherwise utachakatwa na uachwe solemba.
HONGERA SANA miminimama KWA KUWA OVER-CAUTIOUS NA MABAHARIA WA HUMU JF.
Unforgetable
 
Hivi unaweza onana na mtu mliyejuana online siku ya kwanza siku ya pili mkaenda kufanya? Kweli kabisa? Mimo nafikiri tatizo si kuliwa tatizo ni mda tuliojuna na je niko free kwako hujanipa sababu ya mimi kulala na wewe sijakukubali pia, hilo tendo linakuja automatic na ndo linanoga zaidi, mimi pia nalipenda ila ni kwa mtu sahihi na kwa muda sahihi.
Lakini pia inategemea na mda
 
miminimama mpendwa wangu hata usiwinde wakati wa Mungu ukifika utaoata bonge la bwana mpaka utashangaa, kibongo bongo mwanamke kutafuta mwanaume unaonekana upo sokoni, so wewe tulia saka mahela kwanza ya kumlea anko wetu mengine yatajileta baadae.

He he he halafu hayo mafurushi uliyoonana nayo hujatuambia mionekano yao na sisi tuwanange.
sasa unataka kuibua mengine hapa. ushauri wakutaja muonekano wao sijambo zuri unaweza kuibu mazito ambayo kwa asilimia kubwa yanaweza kuwa si kweli.
 
Hapana sijala hela ya yoyote hata hao wawili nilionana nao mmoja alininunulia chips kavu na juice ya miwa Total sh 2 500 mwingine alikuja kituo cha basi labda gharama yake ni muda wake na nauli tu isiyozidi Tsh 2 000.
Ngoja niulize swali lakini si kwa ubaya. aliependekeza chips kavu na juice ya miwa ni wewe ama jamaa?
 
Mkuu wewe Ni balaa unataka kujua info zote,kisa 2,500/=[emoji41][emoji41]
nilitaka kujua tu. unajua kuna vitu vingine tunafeli wenyewe. unakwenda date lazima ujikakamue kila sekta moja ikiwa ni ya mufuko. najaribu kupiga picha hiyo sehemu ilikuwa kuwa je?
 
Back
Top Bottom