Mrejesho: Yeyote anayemjua mtaalam anayeweza kumrejesha ndugu yetu aliyefariki kifo cha kutatanisha

Kwa nn wasukuma mnaamini sana ushirikina? Hao wataalam unaodai waliwapa majibu kuwa ni baba yake kamuua ni matapeli na wanatembea na mawazo yako, yaani ukienda kwa mganga Kuna watu unawakuta kwn foleni, kati Yao Kuna wapambe wa mganga ambao wanapiga na ww story wewe unafunguka, kwa kuwa watatangulia kuingia ndani wanamwambia kila kitu! Ukitaka kuamini nenda kwa mganga mbali usikojulikana ukae tu usiongee kitu Hadi zamu yako ifike uingie uone mganga atakavyobabaika
 
Yaani mpaka leo kuna watu wanaamini haya mambo ya Uchawi wa Baba kuua mtoto wake😭😭.Uchawi kweli upo na wachawi wapo 100% Ila Mungu yupo na anafanya Maajabu katika kulinda na kuokoa watu wake! Akuna Nguvu ya Uchawi yenye Nguvu ya kuweza dhuru yule analindwa na MUNGU!
 

Mtu anayeamini ushirikina sitaki hata kumsogelea, wanakuwaga watu wa lawama na kila kitu anachofanya anahisi wanamroga SIPENDI [emoji57][emoji57]
 
Mtu alikufa halafu unamfufua? Ili upate nini hasa?
 
Poleni sana,
Mtu akishakufa siamini kama anaweza kurudi, kwani hakuna mtu anaweza kufufuka kutoka kwa wafu.

Napata utata kwenye maelezo yako:_
Wataalamu wamethibitisha baba anahusika, kwani mshaenda kushitaki?

Baba mzazi anahusika vipi?
 
Mtu anayeamini ushirikina sitaki hata kumsogelea, wanakuwaga watu wa lawama na kila kitu anachofanya anahisi wanamroga SIPENDI [emoji57][emoji57]

Mtu anayeamini ushirikina sitaki hata kumsogelea, wanakuwaga watu wa lawama na kila kitu anachofanya anahisi wanamroga SIPENDI [emoji57][emoji57]
Umeielezea vyema zaidi..yaani balaa..🤣
 
Mabwege vyakula vya wajanja, basi nenda kwa Gwajima.
 
kufa ni chemical change (badiliko la kikemikali) kama umefika darasa la sita utakuwa ushaelewa asikudsnganye mtu utapigwa hela mara ndugu katangulia full majonzi pole sana
 
Baada ya kusoma huu uzi ndo nimemwelewa baba yangu aliposema tuchunguze familia ya yule mchumba wangu kama ina laana yoyote. Kila mtu alimshangaa baba ila kupitia huu uzi nimemwelewa.
 
Wasiliana na Mshana Jr atakusaidia Elimu zaidi
Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…