bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Kuna kufa na kufichwa, mchawi Hana uwezo wa kuua mtu Bali kumficha asionekane na watuMtu alikufa halafu unamfufua? Ili upate nini hasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kufa na kufichwa, mchawi Hana uwezo wa kuua mtu Bali kumficha asionekane na watuMtu alikufa halafu unamfufua? Ili upate nini hasa?
Zipo aina nyingi za vifo we unaelezea Ile ya kwanza.kufa ni chemical change (badiliko la kikemikali) kama umefika darasa la sita utakuwa ushaelewa asikudsnganye mtu utapigwa hela mara ndugu katangulia full majonzi pole sana
Habari wakuu!
Heshima kwenu wana jukwaa mliojaa maarifa na utambuzi wa mambo.
Naomba niende moja kwa moja kwenye maada;
Nilileta maada tajwa hapo juu....kiufupi sisi ni watu tunaotokea mkoa wa morogoro lakini nadhani background yetu haiwezi kuwa na umuhimu katika hili.
Nimekuja tena ndugu yenu kuwapa mrejesho wa hili jambo na baada ya kumaliza nitaomba ushauri kutoka kwenu wakuu.
Kiukweli tunasikitika kwamba baada ya kutafuta suluhisho la tatizo kwa wataalamu mbali mbali tumekuja kujua ya kwamba baba mzazi wa marehem ndiyo muhusika mkuu wa kifo cha mtoto japo yeye amekana kabisa lakini wataalamu wote ambao tumeenda ndiyo wamesema kwa baba ni muhusika mkuu, najua hii kauli italeta mjadala lakini naomba nisinukuliwe vibaya...kuna watu hawaaamini katika ushirikina lakini naomba muwe wavumilivu katika hili.
Nisiandike sana wakuu maana nina mengi ya kusema lakini cha muhimu naomba kupata ushauri kutoka kwenu, ni hatua gani tunapaswa kufanya ili kulitatua hili tatizo kwa namna yoyote ile.
Pia Kama kuna mtaalam anayeweza kutusaidia kushughulikia hili jambo atusaidie
Angalizo: Mnaotukana na kujibu vibaya mbarikiwe sana kwasababu hakuna aliyeomba kuzaliwa katika familia yenye matatizo.
Karibuni.
ndani ya 40 days, huwa inawezekana kirahisi sana.. ila nje ya hapo kazi huwa pevu na anaweza akarudi asiwe normalHabari wakuu!
Heshima kwenu wana jukwaa mliojaa maarifa na utambuzi wa mambo.
Naomba niende moja kwa moja kwenye maada;
Nilileta maada tajwa hapo juu....kiufupi sisi ni watu tunaotokea mkoa wa morogoro lakini nadhani background yetu haiwezi kuwa na umuhimu katika hili.
Nimekuja tena ndugu yenu kuwapa mrejesho wa hili jambo na baada ya kumaliza nitaomba ushauri kutoka kwenu wakuu.
Kiukweli tunasikitika kwamba baada ya kutafuta suluhisho la tatizo kwa wataalamu mbali mbali tumekuja kujua ya kwamba baba mzazi wa marehem ndiyo muhusika mkuu wa kifo cha mtoto japo yeye amekana kabisa lakini wataalamu wote ambao tumeenda ndiyo wamesema kwa baba ni muhusika mkuu, najua hii kauli italeta mjadala lakini naomba nisinukuliwe vibaya...kuna watu hawaaamini katika ushirikina lakini naomba muwe wavumilivu katika hili.
Nisiandike sana wakuu maana nina mengi ya kusema lakini cha muhimu naomba kupata ushauri kutoka kwenu, ni hatua gani tunapaswa kufanya ili kulitatua hili tatizo kwa namna yoyote ile.
Pia Kama kuna mtaalam anayeweza kutusaidia kushughulikia hili jambo atusaidie
Angalizo: Mnaotukana na kujibu vibaya mbarikiwe sana kwasababu hakuna aliyeomba kuzaliwa katika familia yenye matatizo.
Karibuni.
Nachojua mzazi ni Mungu wa 2 duniani mzazi akisikitika tu mambo yako hayataenda muombeni msamaha aise kabla hajaondoka duniani huyo mzee..anywys poleni...lakini kwanini msiache lipite mmkabidhi Mungu jambo hili?
Koo zinazoamini haya mambo mie naogopa hata ujirani nao aise🙌
Kiukweli tunasikitika kwamba baada ya kutafuta suluhisho la tatizo kwa wataalamu mbali mbali tumekuja kujua ya kwamba baba mzazi wa marehem ndiyo muhusika mkuu wa kifo cha mtoto japo yeye amekana kabisa lakini wataalamu wote ambao tumeenda ndiyo wamesema kwa baba ni muhusika mkuu, .
Kila mtu abaki na beliefs zake bobMzazi wa Diamond, Ommy Dimpoz, na wengineo walisikitika na mambo ya Watoto wao yanaenda tuu.
Acha Imani za kizamani na kijinga
Naomba nije pm tafadhalindani ya 40 days, huwa inawezekana kirahisi sana.. ila nje ya hapo kazi huwa pevu na anaweza akarudi asiwe normal
MhhhhHabari wakuu!
Heshima kwenu wana jukwaa mliojaa maarifa na utambuzi wa mambo.
Naomba niende moja kwa moja kwenye maada;
Nilileta maada tajwa hapo juu....kiufupi sisi ni watu tunaotokea mkoa wa morogoro lakini nadhani background yetu haiwezi kuwa na umuhimu katika hili.
Nimekuja tena ndugu yenu kuwapa mrejesho wa hili jambo na baada ya kumaliza nitaomba ushauri kutoka kwenu wakuu.
Kiukweli tunasikitika kwamba baada ya kutafuta suluhisho la tatizo kwa wataalamu mbali mbali tumekuja kujua ya kwamba baba mzazi wa marehem ndiyo muhusika mkuu wa kifo cha mtoto japo yeye amekana kabisa lakini wataalamu wote ambao tumeenda ndiyo wamesema kwa baba ni muhusika mkuu, najua hii kauli italeta mjadala lakini naomba nisinukuliwe vibaya...kuna watu hawaaamini katika ushirikina lakini naomba muwe wavumilivu katika hili.
Nisiandike sana wakuu maana nina mengi ya kusema lakini cha muhimu naomba kupata ushauri kutoka kwenu, ni hatua gani tunapaswa kufanya ili kulitatua hili tatizo kwa namna yoyote ile.
Pia Kama kuna mtaalam anayeweza kutusaidia kushughulikia hili jambo atusaidie
Angalizo: Mnaotukana na kujibu vibaya mbarikiwe sana kwasababu hakuna aliyeomba kuzaliwa katika familia yenye matatizo.
Karibuni.
We naye chenga sana,wapi kasema yeye ni msukuma,au morogoro wanaoishi pale ni wasukuma!?Kwa nn wasukuma mnaamini sana ushirikina? Hao wataalam unaodai waliwapa majibu kuwa ni baba yake kamuua ni matapeli na wanatembea na mawazo yako, yaani ukienda kwa mganga Kuna watu unawakuta kwn foleni, kati Yao Kuna wapambe wa mganga ambao wanapiga na ww story wewe unafunguka, kwa kuwa watatangulia kuingia ndani wanamwambia kila kitu! Ukitaka kuamini nenda kwa mganga mbali usikojulikana ukae tu usiongee kitu Hadi zamu yako ifike uingie uone mganga atakavyobabaika
Hata mimi mama yangu alishaskitika sana juu yangu,cha ajabu ambao hawasikitikii maisha yao ni magumu sana kuliko yangu,tuache kukalili,Kuna wazazi ni mashaitwani kabisaMzazi wa Diamond, Ommy Dimpoz, na wengineo walisikitika na mambo ya Watoto wao yanaenda tuu.
Acha Imani za kizamani na kijinga
Wahamiaji wa Morogoro wengi ni wasukuma, soma vzr, sijajiandikia tu wewe ngoshaWe naye chenga sana,wapi kasema yeye ni msukuma,au morogoro wanaoishi pale ni wasukuma!?
Wataalamu wapo, ila wengi wanaogopa kuwarudishaa duniani wanakua km misukule, hata jamii itawakimbia.Hawawezi. Wale pia ni kama waganga wa kienyeji.
Wanaweza kuvumilia??jamii itampokeajee huyo marehemu??nakupa namba ila kama atakutapeli mimi sitahusika, ila namuamini 85% kama alikufa kifo cha kusabbabishwa anaweza kurudi