Mrejesho: Yeyote anayemjua mtaalam anayeweza kumrejesha ndugu yetu aliyefariki kifo cha kutatanisha

ndo maana serikali inataka mfanye usaili na mitihani upya kabla ya kuajiriwa kama walimu.
 
ndani ya 40 days, huwa inawezekana kirahisi sana.. ila nje ya hapo kazi huwa pevu na anaweza akarudi asiwe normal
Inategemea walio chukua wameanza kum haini lini, wengine siku 3 tyuuh.

Ila % nyingi wanasubiri had 40 ipitee.
 
Km wataalamu wamewaambia mzazi ndo kaua, means wanajua huyo mzazi kamficha wapi huyo mtoto, ndo maan wamewaaambia ili mumbane vizuri huyo baba aseme mwenyewe.

Sasa km anakataa, muacheni ila muambieni ukweli kuwa tunafanya jitihada za kumrudishaa, wee usimfanye chochote, huko uliko mficha muache km alivyooo. Km haja muhaini anarudi fresh tyuuh. Ila km sivyo atarudi abnormal.

Mambo km haya huwa wanafanya ndani ya siku 14 wakati wa tukio, sehemu zingne hawaziki hata. Hadi wajue hitimishoo.
 

Hakuna mtaala anayeweza ku reverse hilo zoezi, huyo kaenda moja kwa moja. Tena Mmeanza msumbu huyo Mzee, ndo ataenda mtesa na kukazia kumhukumu dogo.
 
Kumbe nawe ni mshirikina
 
Hata mimi mama yangu alishaskitika sana juu yangu,cha ajabu ambao hawasikitikii maisha yao ni magumu sana kuliko yangu,tuache kukalili,Kuna wazazi ni mashaitwani kabisa

Nilishawahi kuandika hapa kuwa kama Mzazi maneno yake yangekuwa yanashika basi Watu wengi wangekuwa na Maisha mazuri.
Lakini wengi waliombewa Maisha ya baraka na Wazazi wao ikiwemo kufanikiwa kiuchumi lakini Maisha Yao ni magumu
 
Ukifanikiwa nakuomba umuunganishe na jiwe.
 
Nitafute in box
 
Kama mna binti bikra wa kumpa mtaalamu njoo PM tumalize kazi chap kwa haraka.
Mna asili ya Morogoro sehemu gani?
Maana kule nako uchawi ni wa kumwaga.
 
Nyie hamna akili sasa kama alihemuuwa huyo jamaa yenu ni baba kwa nini msimuuwe huyo baba kwa nini mnaishi na mchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…