malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Aje tuone ila gharama ataziweza kweliNenda Bugando, kwa sababu ni rahisi kwa hapo ulipo.
Kwani gharama zikoje mkuuAje tuone ila gharama ataziweza kweli
Tia neno mtoto apone broπππ
Bro ni kama unataka nicheke ili nionekane nna roho mbaya au sio πTia neno mtoto apone bro
Kulingana na maelezo yako mtoto tatizo lake lipo kwenye figo hasa mirija inayopitisha mkojoWakuu nimerudi kuwapa mrejesho Tena,baada ya kumaliza dawa za kichocho prazquantel 600mg vidonge vinne hali ya mtoto ikawa vile vile Bado anaendelea kukojoa damu
Leo asubuh nimeamkia hospital hapa yawakatoliki hospital ya kati tu,mtoto akaandikiwa vipimo Tena vya damu,mkojo,ultrasound ya figo,kibofu,prostate,wingi wa damu,hpylori,kichocho,na choo kubwa kapima,na creatinine
Majibu yakatoka creatinine ziko sawa,hana kichocho,mkojo uko safi hauna protein,prostate Iko sawa,kibofu Kiko sawa,figo ziko sawa in shape na size
Ila kabainika kwa maelezo ya daktari anahuo ugonjwa kwenye figo zake kunamirija inayotengeneza sjui nakupitisha mkoja inamajereha ndo inafanya anakojoa damu,ahisi mtoto alikua na infection kwa muda mrefu katika njia za mkojo labda ikapelekea kwenda kwenye figo,pia ana HPYROLI POSTIVE
Mtoto pia amekuwa na kawaida akiwa shule au nyumbani akijiiba kununua mihogo au vitu vyakuweka chumvi basi huweka chumvi
Daktari kashauri tutafute hospital kubwa Zaid tuonane na UROLOGY SPECIALIST kwa msaada Zaid,pia daktar kaandika hizi dawa koact 375 co-amoxiclav tablets BP 250-125 mg,metronidazole 1Γ2,Omeprazole usp 20mg 1Γ2,prednisolone 1Γ2
Ushauri hospital ipi ntapata daktari bingwa wa urology wazur kama dokta alivyoshauri
Ugonjwa aliobainika nao ni huu PYELONEPHRITIS
Naambatanisha na majibu ya ultrasound chini
Uchungu wa mwana aujuae mzazi ndio hii inaonekana kwenye huu uzi sasa. Mzazi anajitahidi kufanya kila analoweza ilimradi kuhakikisha afya ya mtoto inatengamaa.Bro ni kama unataka nicheke ili nionekane nna roho mbaya au sio π
Ukifika utajua watakwambiaAje tuone ila gharama ataziweza kweli
Ndio hivo hivo walahujakosea,na daktar huyu aliebaini tatizo kanishauri nitafute hospital kubwa nionane na daktari bingwa wa urologyKulingana na maelezo yako mtoto tatizo lake lipo kwenye figo hasa mirija inayopitisha mkojo
Huenda kukawa na obstacles ambayo inapelekea michubuko wakati wa kuchuja mkojo
Shukran acha nijiandae kesho kutwa nisafiri kwenda hospitalUkifika utajua watakwambia
Bro, unamtisha mzaziAje tuone ila gharama ataziweza kweli
Sasa kama niliweza kutibuwa aga Khan upanga kwakudunduliza kaakiba kangu nadhani hata huko kwa uwezo wa mungu ntaweza kwanilichojaaliwaBro, unamtisha mzazi
Ndo natafuta ushauri kwenu nawazoefu niende hospital ipi yakiwango Cha juuImagine kuna mtu alidiagnose kichocho ππ
Mkuu pambania. kwa hapo mpaka sasa dogo anapona ni kwenda hospital ya kiwango cha juu tu.
Wakuu nimerudi kuwapa mrejesho Tena,baada ya kumaliza dawa za kichocho prazquantel 600mg vidonge vinne hali ya mtoto ikawa vile vile Bado anaendelea kukojoa damu
Leo asubuh nimeamkia hospital hapa yawakatoliki hospital ya kati tu,mtoto akaandikiwa vipimo Tena vya damu,mkojo,ultrasound ya figo,kibofu,prostate,wingi wa damu,hpylori,kichocho,na choo kubwa kapima,na creatinine
Majibu yakatoka creatinine ziko sawa,hana kichocho,mkojo uko safi hauna protein,prostate Iko sawa,kibofu Kiko sawa,figo ziko sawa in shape na size
Ila kabainika kwa maelezo ya daktari anahuo ugonjwa kwenye figo zake kunamirija inayotengeneza sjui nakupitisha mkoja inamajereha ndo inafanya anakojoa damu,ahisi mtoto alikua na infection kwa muda mrefu katika njia za mkojo labda ikapelekea kwenda kwenye figo,pia ana HPYROLI POSTIVE
Mtoto pia amekuwa na kawaida akiwa shule au nyumbani akijiiba kununua mihogo au vitu vyakuweka chumvi basi huweka chumvi
Daktari kashauri tutafute hospital kubwa Zaid tuonane na UROLOGY SPECIALIST kwa msaada Zaid,pia daktar kaandika hizi dawa koact 375 co-amoxiclav tablets BP 250-125 mg,metronidazole 1Γ2,Omeprazole usp 20mg 1Γ2,prednisolone 1Γ2
Ushauri hospital ipi ntapata daktari bingwa wa urology wazur kama dokta alivyoshauri
Ugonjwa aliobainika nao ni huu PYELONEPHRITIS
Naambatanisha na majibu ya ultrasound chini
Presha ya mtoto inatakiwa kuwa ngapPole kwa kuuguza,
Pamoja na kumwona daktari bingwa wa figo, ni vyema pia kuendelea kufatilia:
1: Ndani ya wiki alipoanza kuumwa kama alipata shida yoyote ya mafua, kikohozi au koo kwa ujumla.
2: Uzito wa mtoto tangu ameanza kuumwa kama unaongezeka kwa kiasi kikubwa kuliko kawaida.
3: Pata sehemu ambayo mtoto anaweza kupima presha yake na kuona kama iko kwenye kiwango kinachotakiwa.
4: Kama kuna hali yoyote ya kujaa uso wake, hasa asubuhi ambayo mchana hurejea kuwa kawaida.
4: Upataji wake wa haja ndogo/mkojo unaendelea kuwa vyema kwa siku au unapungua?