Mrejesho3,mtoto umri miaka 10 anakojoa mkojo umechanganyikana na damu

Ni muhimu kuwa na kipimo cha kuweka mkononi kwa umri husika.
Kwani huwa pia Kuna mashine za presha kwa watoto tofauti nahizi za digital tunazotumia wakubwa kama hii
 

Attachments

  • Screenshot_2026-09-25-15-18-44-145_com.opera.mini.native.jpg
    172.7 KB · Views: 12
Kwani huwa pia Kuna mashine za presha kwa watoto tofauti nahizi za digital tunazotumia wakubwa kama hii
Mashine ni hiyo hiyo, ila CUFF ya kuweka mkononi inakuwa ziko aina tofauti:
 
the best hospital ni bugando au muhimbili na kwa distance uliyoko ni bugando ikishindikana hapo muhimbili au india
 
Pyelonephritis ni MIRIJA YA KUPITIEHW MKOJO(NEPHRONS ) hazifanyi kazi ya kuchuja RBC fresh

Apelekwe hospital kubwa
 
Pole sana, najua hali unayopitia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…