Ndio maana ya Uzalendo, haibiNyumbani kwake ni Salasala
Ile nyumba ya Sinza alinunuliwa na chama chake TLP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana ya Uzalendo, haibiNyumbani kwake ni Salasala
Ile nyumba ya Sinza alinunuliwa na chama chake TLP
Butiama iliwekwa lami alivokufa? Miaka ya 2007 nikiwa kachalii kadogo nilipita hiyo barabara ilikua vumbi tu lami ilikua inatoka musoma mjini kunyoosha kwenda Bunda ila ukikata kona kuelekea butiama ilikua vumbiMzee Mchonga ilibidi ajengewe nyumba na JKT alipostaafu Urais baada ya kukaa madarakani miaka 23.
Barabara ya Lami kutokea Kiabakari mpaka Butiama ilijengwa immediatey baada ya kifo chake ili kuficha aibu toka kwa wageni watakaohudhuria mazishi huko kijijini.
Hivyo kuna watu walikuwa wazalendo na wajamaa kweli kweli akiwemo Mrema.
Kwa tafsiri hii kuna kila Sababu ya Tanzania Housing Bank kurudi.Marehemu hasemwi ila ni vizuri tujue ili tulio hai tujifunze
Alianza kazi mwaka 1966 kwenyeile idara akizuga ni mwalimu.
Mwaka 1987 akawa mbunge,1990 mbunge tena.
Akawa waziri wa mambo ya ndani na waziri wa kazi,akawa naibu waziri mkuu(cheo cha mchongo kisichokuwepo kwenye katiba)
Akawa tena mbunge wa vunjo akiwa upinzani
Usimchukulie poa,hakuwa mtu mdogo
Ongeza na hiii Mwenyekiti wa NCCR,TLP na Parole huko kote ni afisa kipenyo akizuga kuwa ni mwanasiasa wa upinzani
Ila kila siku alikuwa analia njaa hata matibabu JPM ndio alikuwa anamtibia nje ya nchi kama hisan.
Huenda mama alimsahau ndio maana akatutoka.
Kipimo cha mafanikio ni unapolala
Nyumba yake ya Kiraracha naifahamu na ile ya Sinza na Salasala kila mtu anaijua haviendani na hadhi yake
Pesa zake alikuwa anapeleka wapi?
Wana share na wasiobahatika kama waoHela zao za mishahara wanapelekaga wapi
Nimejifunza kituKwa tafsiri hii kuna kila Sababu ya Tanzania Housing Bank kurudi.
Au National Housing kuchukua sura ya kudesign makazi ya Watanzania.
Kwa ufupi tu Nyumba zinaenda na Fashion .
Fashion inadumu kwa niaka kumi mpk 30 inapita.
Unless kuna kuwepo na Proper Build Codding tofauti na hivo kila mtu anakuwa na mtizamo wake kwenye nyumba...
Halafu Kiongozi kama Marehemu Mrema ni mtu wa jamii...
Mbunge anajitoa sana kwa jamii kwa Sababu kura ndiyo Mtaji wake...
Kwa hivo ni mtu wa kutoa zaidi...
Ni Mtumishi wa wapiga kura...
Unless awe Mwizi...
Haya ni mawazo ya vijana wadogo...
Ambao wakianza tu kazi nkopo wa kwanza kazi yake ni kununua kigari....
Very poor thinking though ..
Wazee hawakuwaza hivo
Walipambana na Elimu;Afya na kubebana na Extended family kwa maana ya kuwasaidia...
Hapakuwa na Barabara wala umeme...life was so difficult...
Leo vijana wanadhani kila kitu kilikuwa kama kilivyo leo...
Hapana!!
Wacha Mzee wa watu apumzike kwa Amani
Amefanya kazi kubwa!
Kwa Nchi na pia kwa familia yake!!
Kajengewa na magufuli rafiki yake😄😄Watu wanataka aishi kwenye ghorofa mtu mwenyewe alikuwa mgonjwa. Atapanda vipi ngazi. Hiyo nyumba Salasala inaonekana ni mpya kabisa. Itakuwa walijenga na mkewe nyumba ya kuishi standard tu. Walikuwa wameshazeeka.
Ukijenga ghorofa uzeeni,chini unaweka room yako juu watalala wajukuu,ghorofa ina heshima yake bana.lile dude la mengi kule machame lilimpa heshima akiwa marehemuWatu wanataka aishi kwenye ghorofa mtu mwenyewe alikuwa mgonjwa. Atapanda vipi ngazi. Hiyo nyumba Salasala inaonekana ni mpya kabisa. Itakuwa walijenga na mkewe nyumba ya kuishi standard tu. Walikuwa wameshazeeka.
Mbowe kidogo magufuli amfilisi,alianza na bilicanas mara mashamba yake mara kakamata accountAu ndio maana Mbowe kaamua kurudi ule upande mwingine baada ya kuona siasa zitamfirisi?
Angeajiri nesi mstaafu wakumleaAgustino alikuwa mzalendo wa kweli.
Wakati fulani miaka ya 199s alinunua lami mapipa kwa mapipa akiwa na lengo la kusaidiwa na Serikali ili aweke lami barabara ya kilalacha ambapo kuna hospitali na mortuary ya kilema,
Zoezi halikufanikiwa yale mapipa ya lami yakakaukia kule kando ya barabara,
Alifanya mengi, hata kutetea wanyonge.
Sijui hata kilichomfanya aoe huenda angekula kula hapo.
Africa wanasiasa ndio matajiri wakubwaA public servant kama sio mwizi au mla rushwa huwezi kuwa Tajiri.
Cha ajabu zaidi unaweza kuta hao wanaonanga hadhi ya hiyo nyumba hawana hata chumba kimoja cha mali yao.Nyumba yake ni nzuri tu ya kawaida. Muhimu alikuwa na mahali pa kuishi standard.
Kama hawajawahi kushika pesa au madaraka hawana kosaCha ajabu zaidi unaweza kuta hao wanaonanga hadhi ya hiyo nyumba hawana hata chumba kimoja cha mali yao.
Raha ya ghorofa ukaenjoy upepo mwanana kwenye balkon bwana. Huku unapata nyama choma na glass ya rose wine.Ukijenga ghorofa uzeeni,chini unaweka room yako juu watalala wajukuu,ghorofa ina heshima yake bana.lile dude la mengi kule machame lilimpa heshima akiwa marehemu
Hujamuelewa uliyemjibuNafahamu kidogo tu,shamba moshi vijijini,nyumba kiraracha na sinza
Huku bibie yuko anakukandakanda mgongo,makarani wa sensa wakija kuwakata stim unaweza kuwakaushia au kuwatimuaRaha ya ghorofa ukaenjoy upepo mwanana kwenye balkon bwana. Huku unapata nyama choma na glass ya rose wine.
Halafu nyamba yake imezungukwa na nyumba za wanae. Binafsi ninaona Mrema aliishi maisha ya furaha .Familia kwanza. Nyumba yake pia ni nzuri tu.Kajengewa na magufuli rafiki yake😄😄
Ila ina hadhi ya nani? Nyie ndio wezi mabaradhuli mnakimbilia madaraka kuiba. Unajua nyumba ya Mwalimu alipokufa kule Butiama? Najua unaijua kwani muda huo ulikua na akili timamu.Ile nyumba haina hadhi ya naibu waziri mkuu mstaafu