Mrema alikuwa anapeleka wapi pesa zake?

Mrema alikuwa anapeleka wapi pesa zake?

Marehemu hasemwi ila ni vizuri tujue ili tulio hai tujifunze

Alianza kazi mwaka 1966 kwenyeile idara akizuga ni mwalimu.

Mwaka 1987 akawa mbunge,1990 mbunge tena.
Akawa waziri wa mambo ya ndani na waziri wa kazi,akawa naibu waziri mkuu(cheo cha mchongo kisichokuwepo kwenye katiba)
Akawa tena mbunge wa vunjo akiwa upinzani

Usimchukulie poa,hakuwa mtu mdogo

Ongeza na hiii Mwenyekiti wa NCCR,TLP na Parole huko kote ni afisa kipenyo akizuga kuwa ni mwanasiasa wa upinzani

Ila kila siku alikuwa analia njaa hata matibabu JPM ndio alikuwa anamtibia nje ya nchi kama hisan.
Huenda mama alimsahau ndio maana akatutoka.

Kipimo cha mafanikio ni unapolala
Nyumba yake ya Kiraracha naifahamu na ile ya Sinza na Salasala kila mtu anaijua haviendani na hadhi yake

Pesa zake alikuwa anapeleka wapi?
Hawa maafisa vipenyo kwenye upinzani wamejaa, usikate hata faru John mlamba asali wa Ufipa nae yupo.
 
Ile nyumba aliyonayo ni nzuri mengine ni ziada. Magorofa ya nn na unalala chumba kimoja? Watoto wawezeshe wajenge zao ukivutiwa kila mmoja mpe moja ya kawaida.
 
kwa watu fulani kila mpinzani ni 'afisa kipenyo', isipokuwa mwenyekiti wao tu, Mwamba!. Yeye hata atoe wangapi kwenda kukitumikia chama tawala hata husikii kusemwa ni 'afisa kipenyo'!

Hilo moja, pili, kwani unafahamu chochote kuhusu anavyomiliki?!!!!
Halafu Mimi huwa nikiwaita misukule au wakiitwa nyumbu wanakasirika
 
Back
Top Bottom