Mrema alikuwa anapeleka wapi pesa zake?

Butiama iliwekwa lami alivokufa? Miaka ya 2007 nikiwa kachalii kadogo nilipita hiyo barabara ilikua vumbi tu lami ilikua inatoka musoma mjini kunyoosha kwenda Bunda ila ukikata kona kuelekea butiama ilikua vumbi
 
Kwa tafsiri hii kuna kila Sababu ya Tanzania Housing Bank kurudi.

Au National Housing kuchukua sura ya kudesign makazi ya Watanzania.

Kwa ufupi tu Nyumba zinaenda na Fashion .

Fashion inadumu kwa niaka kumi mpk 30 inapita.

Unless kuna kuwepo na Proper Build Codding tofauti na hivo kila mtu anakuwa na mtizamo wake kwenye nyumba...

Halafu Kiongozi kama Marehemu Mrema ni mtu wa jamii...

Mbunge anajitoa sana kwa jamii kwa Sababu kura ndiyo Mtaji wake...

Kwa hivo ni mtu wa kutoa zaidi...

Ni Mtumishi wa wapiga kura...

Unless awe Mwizi...

Haya ni mawazo ya vijana wadogo...

Ambao wakianza tu kazi nkopo wa kwanza kazi yake ni kununua kigari....

Very poor thinking though ..

Wazee hawakuwaza hivo

Walipambana na Elimu;Afya na kubebana na Extended family kwa maana ya kuwasaidia...

Hapakuwa na Barabara wala umeme...life was so difficult...

Leo vijana wanadhani kila kitu kilikuwa kama kilivyo leo...

Hapana!!

Wacha Mzee wa watu apumzike kwa Amani

Amefanya kazi kubwa!

Kwa Nchi na pia kwa familia yake!!
 
Nimejifunza kitu
 
Watu wanataka aishi kwenye ghorofa mtu mwenyewe alikuwa mgonjwa. Atapanda vipi ngazi. Hiyo nyumba Salasala inaonekana ni mpya kabisa. Itakuwa walijenga na mkewe nyumba ya kuishi standard tu. Walikuwa wameshazeeka.
Ukijenga ghorofa uzeeni,chini unaweka room yako juu watalala wajukuu,ghorofa ina heshima yake bana.lile dude la mengi kule machame lilimpa heshima akiwa marehemu
 
Au ndio maana Mbowe kaamua kurudi ule upande mwingine baada ya kuona siasa zitamfirisi?
Mbowe kidogo magufuli amfilisi,alianza na bilicanas mara mashamba yake mara kakamata account
 
Angeajiri nesi mstaafu wakumlea
 
Ukijenga ghorofa uzeeni,chini unaweka room yako juu watalala wajukuu,ghorofa ina heshima yake bana.lile dude la mengi kule machame lilimpa heshima akiwa marehemu
Raha ya ghorofa ukaenjoy upepo mwanana kwenye balkon bwana. Huku unapata nyama choma na glass ya rose wine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…