Watu wa musoma hawana utamaduni wa kujenga kwao,ni kama wagogo na tembe zaoIla ina hadhi ya nani? Nyie ndio wezi mabaradhuli mnakimbilia madaraka kuiba. Unajua nyumba ya Mwalimu alipokufa kule Butiama? Najua unaijua kwani muda huo ulikua na akili timamu.
Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
Hawa maafisa vipenyo kwenye upinzani wamejaa, usikate hata faru John mlamba asali wa Ufipa nae yupo.Marehemu hasemwi ila ni vizuri tujue ili tulio hai tujifunze
Alianza kazi mwaka 1966 kwenyeile idara akizuga ni mwalimu.
Mwaka 1987 akawa mbunge,1990 mbunge tena.
Akawa waziri wa mambo ya ndani na waziri wa kazi,akawa naibu waziri mkuu(cheo cha mchongo kisichokuwepo kwenye katiba)
Akawa tena mbunge wa vunjo akiwa upinzani
Usimchukulie poa,hakuwa mtu mdogo
Ongeza na hiii Mwenyekiti wa NCCR,TLP na Parole huko kote ni afisa kipenyo akizuga kuwa ni mwanasiasa wa upinzani
Ila kila siku alikuwa analia njaa hata matibabu JPM ndio alikuwa anamtibia nje ya nchi kama hisan.
Huenda mama alimsahau ndio maana akatutoka.
Kipimo cha mafanikio ni unapolala
Nyumba yake ya Kiraracha naifahamu na ile ya Sinza na Salasala kila mtu anaijua haviendani na hadhi yake
Pesa zake alikuwa anapeleka wapi?
"Rasimu ya warioba irudi mezani Sasa iwe katiba MPYA"!
Halafu Mimi huwa nikiwaita misukule au wakiitwa nyumbu wanakasirikakwa watu fulani kila mpinzani ni 'afisa kipenyo', isipokuwa mwenyekiti wao tu, Mwamba!. Yeye hata atoe wangapi kwenda kukitumikia chama tawala hata husikii kusemwa ni 'afisa kipenyo'!
Hilo moja, pili, kwani unafahamu chochote kuhusu anavyomiliki?!!!!
Watz hawana mtu mwemaAlikuwa Mzalendo.
Wasipoiba na kuishi kawaida tunawaona wajinga, wakiiba wakijenga maghorofa tunawaita wezi na kelele nyingi sana.