The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Lema ni muhuni Fulani hivi“Pamoja na kupokea wito wa kushiriki mkutano huo maalum, sisi -wagombea ubunge wa 2020 na watiania wa ubunge wa 2025 – tumeona kuna viashiria vya kutopewa au kutopata nafasi ya kutosha kusikilizwa katika mkutano huo maalum, na kwa hiyo, tumeamua kukuandikia Waraka huu, kwasababu zifuatazo: Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe Tundu Lissu, akihutubia mkutano wa hadhara mkoani Iringa ametamka wazi kuwa, “wote wanaoona, “No Reforms, No Elections” haiwezekani ni wana-CCM pamoja na vibaraka wao”. Kauli hii ya Mwenyekiti tayari imezuia uhuru wetu wa kutoa maoni au ushauri mbadala dhidi ya “No Reforms, No Elections”, kwani, kwa mujibu wa Mwenyekiti wetu, watu wa namna hiyo ni wana-CCM au vibaraka wao. Aidha Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Kamati ya Chama ya kuchangisha fedha kwaajili ya “No Reforms, No Elections”, Mhe Godbless Lema, akihutubia mkutano jijini Arusha, amenukuliwa akisema kwamba “wote wanaotaka ubunge au udiwani bila reforms waondoke CHADEMA”. Kauli hii ya Mhe. Lema ya kufukuza watu wenye maoni mbadala ndani ya Chama, haijakanushwa na Chama, na inazidi kuondoa mantiki ya mkutano huo maalum wa kujadili mwenendo wa “No Reforms, No Elections”, kwani tayari washiriki tumewekewa mipaka na vitisho katika kujadili suala hilo”, - Mrema.
John Mrema, mmoja wa wanaounda kundi la G-55 ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akisoma waraka wao kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA wakati akizungumza na wanahabari kwa niaba ya wenzake ambao baadhi walikuwapo eneo hilo mkoani Dar es Salaam siku ya Jumapili Aprili 6, 2025
View attachment 3294789
Harafu hao ndio wanakwambia CCM hakuna Demokrasia 😆😆“Pamoja na kupokea wito wa kushiriki mkutano huo maalum, sisi -wagombea ubunge wa 2020 na watiania wa ubunge wa 2025 – tumeona kuna viashiria vya kutopewa au kutopata nafasi ya kutosha kusikilizwa katika mkutano huo maalum, na kwa hiyo, tumeamua kukuandikia Waraka huu, kwasababu zifuatazo: Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe Tundu Lissu, akihutubia mkutano wa hadhara mkoani Iringa ametamka wazi kuwa, “wote wanaoona, “No Reforms, No Elections” haiwezekani ni wana-CCM pamoja na vibaraka wao”. Kauli hii ya Mwenyekiti tayari imezuia uhuru wetu wa kutoa maoni au ushauri mbadala dhidi ya “No Reforms, No Elections”, kwani, kwa mujibu wa Mwenyekiti wetu, watu wa namna hiyo ni wana-CCM au vibaraka wao. Aidha Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Kamati ya Chama ya kuchangisha fedha kwaajili ya “No Reforms, No Elections”, Mhe Godbless Lema, akihutubia mkutano jijini Arusha, amenukuliwa akisema kwamba “wote wanaotaka ubunge au udiwani bila reforms waondoke CHADEMA”. Kauli hii ya Mhe. Lema ya kufukuza watu wenye maoni mbadala ndani ya Chama, haijakanushwa na Chama, na inazidi kuondoa mantiki ya mkutano huo maalum wa kujadili mwenendo wa “No Reforms, No Elections”, kwani tayari washiriki tumewekewa mipaka na vitisho katika kujadili suala hilo”, - Mrema.
John Mrema, mmoja wa wanaounda kundi la G-55 ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akisoma waraka wao kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA wakati akizungumza na wanahabari kwa niaba ya wenzake ambao baadhi walikuwapo eneo hilo mkoani Dar es Salaam siku ya Jumapili Aprili 6, 2025
View attachment 3294789
G55 ni akili kubwa“Pamoja na kupokea wito wa kushiriki mkutano huo maalum, sisi -wagombea ubunge wa 2020 na watiania wa ubunge wa 2025 – tumeona kuna viashiria vya kutopewa au kutopata nafasi ya kutosha kusikilizwa katika mkutano huo maalum, na kwa hiyo, tumeamua kukuandikia Waraka huu, kwasababu zifuatazo: Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe Tundu Lissu, akihutubia mkutano wa hadhara mkoani Iringa ametamka wazi kuwa, “wote wanaoona, “No Reforms, No Elections” haiwezekani ni wana-CCM pamoja na vibaraka wao”. Kauli hii ya Mwenyekiti tayari imezuia uhuru wetu wa kutoa maoni au ushauri mbadala dhidi ya “No Reforms, No Elections”, kwani, kwa mujibu wa Mwenyekiti wetu, watu wa namna hiyo ni wana-CCM au vibaraka wao. Aidha Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Kamati ya Chama ya kuchangisha fedha kwaajili ya “No Reforms, No Elections”, Mhe Godbless Lema, akihutubia mkutano jijini Arusha, amenukuliwa akisema kwamba “wote wanaotaka ubunge au udiwani bila reforms waondoke CHADEMA”. Kauli hii ya Mhe. Lema ya kufukuza watu wenye maoni mbadala ndani ya Chama, haijakanushwa na Chama, na inazidi kuondoa mantiki ya mkutano huo maalum wa kujadili mwenendo wa “No Reforms, No Elections”, kwani tayari washiriki tumewekewa mipaka na vitisho katika kujadili suala hilo”, - Mrema.
John Mrema, mmoja wa wanaounda kundi la G-55 ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akisoma waraka wao kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA wakati akizungumza na wanahabari kwa niaba ya wenzake ambao baadhi walikuwapo eneo hilo mkoani Dar es Salaam siku ya Jumapili Aprili 6, 2025
View attachment 3294789
Mbona Lissu alivunja taratibu za Chama kwa kuhutubia wanachama wake kitaifa bila ruhusa ya Mwenyekiti Mbowe?Katika kuwasilisha malalamiko yake
Utaratibu alioutumia ni mzuri sanaNamshauri MREMA afuate Taratibu za kichama. Katika kuwasilisha malalamiko yake.
Vinginevyo milango ipo wazi, kama anaona Haridhiki na Uongozi uliopo.
Nyani haoni kunduleMbona Lissu alivunja taratibu za Chama kwa kuhutubia wanachama wake kitaifa bila ruhusa ya Mwenyekiti Mbowe?
Tusubiri matokeo. Mmoja jana Kaliwa kichwa. Akabaki anashangaa katenguliwa uteuzi kwa Sms.Utaratibu alioutumia ni mzuri sana
Akili kisoda.G55 ni akili kubwa
Akili kubwa hoja zao hazijabiwa.Mwaka huu CHADEMA mmekosa viongozi Bora tangu chama kianzishweAkili kisoda.
Mbona Lissu alivunja taratibu za Chama kwa kuhutubia wanachama wake kitaifa bila ruhusa ya Mwenyekiti Mbowe?
Anayefukuzwa chamani kwa kusema ukweli hadharani ni shujaaTusubiri matokeo. Mmoja jana Kaliwa kichwa. Akabaki anashangaa katenguliwa uteuzi kwa Sms.
Wajinga Sana kwani no reforms no election iliwakuta barabarani au ni mipango wa chama na wao walikwepo waache wivu Kwa uongozi mpya wakubali upande wao umeshindwa kama VIP basi waende CCM, maana Lisu na heche wameeleweka Kwa wananchi“Pamoja na kupokea wito wa kushiriki mkutano huo maalum, sisi -wagombea ubunge wa 2020 na watiania wa ubunge wa 2025 – tumeona kuna viashiria vya kutopewa au kutopata nafasi ya kutosha kusikilizwa katika mkutano huo maalum, na kwa hiyo, tumeamua kukuandikia Waraka huu, kwasababu zifuatazo: Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe Tundu Lissu, akihutubia mkutano wa hadhara mkoani Iringa ametamka wazi kuwa, “wote wanaoona, “No Reforms, No Elections” haiwezekani ni wana-CCM pamoja na vibaraka wao”. Kauli hii ya Mwenyekiti tayari imezuia uhuru wetu wa kutoa maoni au ushauri mbadala dhidi ya “No Reforms, No Elections”, kwani, kwa mujibu wa Mwenyekiti wetu, watu wa namna hiyo ni wana-CCM au vibaraka wao. Aidha Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Kamati ya Chama ya kuchangisha fedha kwaajili ya “No Reforms, No Elections”, Mhe Godbless Lema, akihutubia mkutano jijini Arusha, amenukuliwa akisema kwamba “wote wanaotaka ubunge au udiwani bila reforms waondoke CHADEMA”. Kauli hii ya Mhe. Lema ya kufukuza watu wenye maoni mbadala ndani ya Chama, haijakanushwa na Chama, na inazidi kuondoa mantiki ya mkutano huo maalum wa kujadili mwenendo wa “No Reforms, No Elections”, kwani tayari washiriki tumewekewa mipaka na vitisho katika kujadili suala hilo”, - Mrema.
John Mrema, mmoja wa wanaounda kundi la G-55 ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akisoma waraka wao kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA wakati akizungumza na wanahabari kwa niaba ya wenzake ambao baadhi walikuwapo eneo hilo mkoani Dar es Salaam siku ya Jumapili Aprili 6, 2025
View attachment 3294789
Watu walioweza kumchagua Lissu kuwa kiongozi wao mkuu ni wehu tu, mtu mwenye akili hawezi kufanya hivyo. Lisuu hafai kuwa kiongozi, mtaelewa siku akikizika Chadema“Pamoja na kupokea wito wa kushiriki mkutano huo maalum, sisi -wagombea ubunge wa 2020 na watiania wa ubunge wa 2025 – tumeona kuna viashiria vya kutopewa au kutopata nafasi ya kutosha kusikilizwa katika mkutano huo maalum, na kwa hiyo, tumeamua kukuandikia Waraka huu, kwasababu zifuatazo: Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe Tundu Lissu, akihutubia mkutano wa hadhara mkoani Iringa ametamka wazi kuwa, “wote wanaoona, “No Reforms, No Elections” haiwezekani ni wana-CCM pamoja na vibaraka wao”. Kauli hii ya Mwenyekiti tayari imezuia uhuru wetu wa kutoa maoni au ushauri mbadala dhidi ya “No Reforms, No Elections”, kwani, kwa mujibu wa Mwenyekiti wetu, watu wa namna hiyo ni wana-CCM au vibaraka wao. Aidha Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Kamati ya Chama ya kuchangisha fedha kwaajili ya “No Reforms, No Elections”, Mhe Godbless Lema, akihutubia mkutano jijini Arusha, amenukuliwa akisema kwamba “wote wanaotaka ubunge au udiwani bila reforms waondoke CHADEMA”. Kauli hii ya Mhe. Lema ya kufukuza watu wenye maoni mbadala ndani ya Chama, haijakanushwa na Chama, na inazidi kuondoa mantiki ya mkutano huo maalum wa kujadili mwenendo wa “No Reforms, No Elections”, kwani tayari washiriki tumewekewa mipaka na vitisho katika kujadili suala hilo”, - Mrema.
John Mrema, mmoja wa wanaounda kundi la G-55 ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akisoma waraka wao kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA wakati akizungumza na wanahabari kwa niaba ya wenzake ambao baadhi walikuwapo eneo hilo mkoani Dar es Salaam siku ya Jumapili Aprili 6, 2025
View attachment 3294789
Wajinga ni mlioshindwa sasa mebaki kuweweseka subirini 2029 mkakifufueWatu walioweza kumchagua Lissu kuwa kiongozi wao mkuu ni wehu tu, mtu mwenye akili hawezi kufanya hivyo. Lisuu hafai kuwa kiongozi, mtaelewa siku akikizika Chadema
Wajinga Sana kwani no reforms no election iliwakuta barabarani au ni mipango wa chama na wao walikwepo waache wivu Kwa uongozi mpya wakubali upande wao umeshindwa kama VIP basi waende CCM, maana Lisu na heche wameeleweka Kwa wananchi
Mpaka damu iwatoke masikioni ndiyo watajua wameumiaWatu walioweza kumchagua Lissu kuwa kiongozi wao mkuu ni wehu tu, mtu mwenye akili hawezi kufanya hivyo. Lisuu hafai kuwa kiongozi, mtaelewa siku akikizika Chadema