Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkichagua wapinzani sileti maji,stupidilipofikia sasa ni vyema kumpa mtu za uso tu[emoji28][emoji28],namkubali magu kwa hili.
maana hatuwezi lea ugonjwa kisa dawa chungu.
Mkichagua wapinzani sileti maji,stupid
Nitawashangaa sana wapinzani watakao jinadi kwa wananchi kwamba serikali haijafanya kazi ilihali wamekua wabunge kwa miaka na hakuwahijua hizo keroilipofikia sasa ni vyema kumpa mtu za uso tu[emoji28][emoji28],namkubali magu kwa hili.
maana hatuwezi lea ugonjwa kisa dawa chungu.
Unamshangaa Mbatia, umeshindwa kumshangaa Meko na CCM wanao rudia ahadi tangu uhuru.Nimeshangaa ktk kampeni mbatia anaahidi tena alivyoahidi 2015...
Kama ni kazi ya mbunge muulize Meko kwa nini anasema watu wasipochagua wabunge na madiwani wa CCM hapeleki maendeleo maeneo hayo?wafuasi wao humu wanakwambia sio kazi ya mbunge kuleta maendeleo[emoji3][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23] kwani inashindikana mkuu?! Si anapost picha akiwa anatembea uchi... [emoji23][emoji23][emoji23]Ahadi nyingine bhana...sasa utatenbea uchi wapi, au humu jf?[emoji28]
Kama ni kazi ya mbunge muulize Meko kwa nini anasema watu wasipochagua wabunge na madiwani wa ccm hapeleki maendeleo maeneo hayo?
Don't count him out mazee ana mizizi kule!Akishinda natembea uchi
Kama wabunge ambao ndio wawakilishi wa wananchi hawawakilishi watu wao wala kudai maendeleo yao wanasubiri hadi kampeni zianze wakifika huko kuomba kura na kuambiwa hatuna shule au madarasa ndio wanaanza kudanganya kwamba shida ni serikali hii haikubaliki.
Ndio maana wanaambiwa wakirudia kuwachagua maendeleo hakuna
labda huelewi unachoongea ama umeamua makusudi kuitupia ccm tatizo lako la kutokuelewa.
unaandika hapo "kazi ya mbunge ni kuisimamia serikali kuleta maendeleo"halafu tena unasema sio kazi ya mbunge kuleta maendele!!!!!!
namimi nikwambie,ujinga wa baadhi ya wabunge wa vyama pinzani na hata ccm baadhi.unakwenda bungeni,badala kuikaba serikali kuhusu jimbo lako kukosa maji,unafanya ufalamanga mwingine unaouona unakufaa,matokeo yake ndio haya miaka 5 inaisha huna cha kuwaeleza wananchi unaanza tena kuomba uwaletee barabara,kama ulijua sio kazi yako uliomba/unaomba ya nini????
Jitu baya kuliko wote ni lile linaloongea bila kujua kazi ya madiwani na wabunge katika kuwasilisha mahitaji ya wananchi, kama wewe.Muwe mnatafakari hata kidogo kabla ya kuchangia. Hivi kuna mbunge wa ccm (yoyote yule) anayewakilisha kero/changamoto/mahitaji ya wapiga kura kama wa upinzani?
Sababu kubwa ya kutoa bunge live ilikuwa kuzuia wananchi wasione jinsi wapinzani wanavyo wasemea ili kuwanyima political mileage.
Pia serikali ina organs nyingi sana za kuwakilisha hizo kero mbali na mbunge.
Hivi idara ya elimu haiwasilishi reports za upungufu wa madarasa/walimu/vifaa vya kufundishia?
Idara ya afya haiainishi changamoto zake? TANROADS na TARURA hawapeleki changamoto za miundombinu? nk nk.
Sasa ni vipi jitu moja lije liseme eti huyu mpinzani hajawasilisha kero zenu nanyi mnaliamini? Na vipi majimbo ambayo yanayokaliwa na ccm tangu uhuru, yote yana maendeleo? Hapo shida sio wabunge wa ccm?[emoji116][emoji116]
Hayo maendeleo ni wajibu wa serikali kupeleka kwa kuwa wanakusanya kodi za hao wananchi. Angesema pia basi kuwa hatakusanya kodi majimbo ya upinzani, kodi unakusanya bila kuuliza kadi za chama then maendeleo ndio unajua kuwa kuna upinzani? Roho za kishetani kabisa.[emoji116][emoji116]
Kazi ya mbunge ni kuwakilisha kero, changamoto, matatizo ama mahitaji ya jimbo husika.kazi ya mbunge ni ipi?
Ni kweli but zama zake zimeisha nusu ya wapigakura hawajui kuwa mzee enzi zake alikuwa machachariDon't count him out mazee ana mizizi kule!
Ila nina uhakika atapata kura za kutosha hata kuwa wa mwisho!Ni kweli but zama zake zimeisha nusu ya wapigakura hawajui kuwa mzee enzi zake alikuwa machachari