Mrembo aliyependeza leo kuliko wote humu ndani, njoo tutoke wote pamoja

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Nipo hapa kaunta, napata nyama kidogo huku nimeshikilia 'glass' ya 'red wine', nikitafakari kusudi la kuumbwa ulimwengu pamoja na viumbe vyake.

Sipendi kuwa mchoyo kwa sababu sijafunzwa hivyo; mrembo yeyote anayejiamini na kujiona amependeza kuliko wote, namkaribisha hapa meza kuu.

Nawatakia jumapili njema,

Nawasilisha.​
 
Wewe ke au me tuanzie hapo kwanza maana siku hizi sizo!
 

Warembo wako busy leo
 
Hakuna vya bure huyo mrembo akitoka hapo nnyeye ajiandae kuwa red wine πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hakuna vya bure huyo mrembo akitoka hapo nnyeye ajiandae kuwa red wine πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sina madhara yoyote, njoo meza kuu tufurahi pamoja πŸ˜€
 
Neno TUTOKE lilitosha kabisa hapakuwa na haja ya kuongezea neno WOTE PAMOJA. Watu kama nyie ndo mnasababishaga vikao visisishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…