Skudu makudubela
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 561
- 1,112
@ms eyes kadi ya mwaliko nimekupaNipo hapa kaunta, napata nyama kidogo huku nimeshikilia 'glass' ya 'red wine', nikitafakari kusudi la kuumbwa ulimwengu pamoja na viumbe vyake.
Sipendi kuwa mchoyo kwa sababu sijafunzwa hivyo; mrembo yeyote anayejiamini na kujiona amependeza kuliko wote, namkaribisha hapa meza kuu.
Nawatakia jumapili njema,
Nawasilisha.