Mrembo aliyependeza leo kuliko wote humu ndani, njoo tutoke wote pamoja

Mrembo aliyependeza leo kuliko wote humu ndani, njoo tutoke wote pamoja

Nipo hapa kaunta, napata nyama kidogo huku nimeshikilia 'glass' ya 'red wine', nikitafakari kusudi la kuumbwa ulimwengu pamoja na viumbe vyake.

Sipendi kuwa mchoyo kwa sababu sijafunzwa hivyo; mrembo yeyote anayejiamini na kujiona amependeza kuliko wote, namkaribisha hapa meza kuu.

Nawatakia jumapili njema,

Nawasilisha.​
@Tiffay kuna mwaliko hapa nimeona nikushirikishe usikae kinyonge umu jamvini
 
Back
Top Bottom