Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #21
Kwanza, sasa hivi uko nyumbani au uko kiwanja?Neno TUTOKE lilitosha kabisa hapakuwa na haja ya kuongezea neno WOTE PAMOJA. Watu kama nyie ndo mnasababishaga vikao visisishe.
Wee naijua hiyo sitaki kuliwa kimasihara😂😂😂Ebu njoo hapa meza kuu uthibitishe hilo
@Tiffay kuna mwaliko hapa nimeona nikushirikishe usikae kinyonge umu jamviniNipo hapa kaunta, napata nyama kidogo huku nimeshikilia 'glass' ya 'red wine', nikitafakari kusudi la kuumbwa ulimwengu pamoja na viumbe vyake.
Sipendi kuwa mchoyo kwa sababu sijafunzwa hivyo; mrembo yeyote anayejiamini na kujiona amependeza kuliko wote, namkaribisha hapa meza kuu.
Nawatakia jumapili njema,
Nawasilisha.
Kitendea kazi hakipo, nilishakikata na kukitupa; we njoo tu tubadilishane mawazo 😀Wee naijua hiyo sitaki kuliwa kimasihara😂😂😂
😂😂😂@Tiffay kuna mwaliko hapa nimeona nikushirikishe usikae kinyonge umu jamvini
Unazurura kumbe umu ushapita kila nyuzi kuna mwandiko wakoWee naijua hiyo sitaki kuliwa kimasihara[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaishi maisha ya upweke sana?Nawasubiri hapa waje, atakayependeza kuliko wote atatunukiwa zawadi 😀
Kwa nini mkuu?Thus why tunaitwa wanaume wote ni MBWA.
😂😂Aku unanisingziaUnazurura kumbe umu ushapita kila nyuzi kuna mwandiko wako
Kweli kwa Afrika mashariki tuko vizuri, ukiacha Rwandanje ya mada, tanzania kuna pisi kali sana nawaonea huruma vipofu hawaon mema ya dunia
Subiri waje waliopendza😂Kitendea kazi hakipo, nilishakikata na kukitupa; we njoo tu tubadilishane mawazo 😀
Hapana nipo na jamii, vipi cwf umemficha wapi?Unaishi maisha ya upweke sana?
Uku kuna wabibi tu 😂Ndio kuzuri huko, kibunda kinakaa muda mrefu
We ata ukija na nguo ya kulalia hakuna shida 😀Subiri waje waliopendza😂
Sijawahi kupendeza.Kama umependeza kuliko wote, njoo meza kuu 😀
Tafuta aliyependeza zaidi, utoke nayeUku kuna wabibi tu 😂
Njoo nikuoneSijawahi kupendeza.
Wako bize wanapika pilau au? 😀