Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Mrembo gani ambaye ni mkali sana asiyepiga mizinga humu, tutoke naye siku ya sikukuu ya Iddi.
Siku ya sikukuu ni siku ya kufurahi na marafiki; kama una sifa tajwa njoo hapa jukwaani ujieleze namna usivyonipiga mizinga katika siku ya kufurahi na marafiki.