Mrembo asiyepiga mizinga mwenye swaga, tutoke naye siku ya Iddi; muhimu kufurahi na marafiki

Mrembo asiyepiga mizinga mwenye swaga, tutoke naye siku ya Iddi; muhimu kufurahi na marafiki

Mrembo gani ambaye ni mkali sana asiyepiga mizinga humu, tutoke naye siku ya sikukuu ya Iddi.

Siku ya sikukuu ni siku ya kufurahi na marafiki; kama una sifa tajwa njoo hapa jukwaani ujieleze namna usivyonipiga mizinga katika siku ya kufurahi na marafiki.
Daaah dogo langu unahangaika sana.
Tayari umemchoka Joannah wangu?
 
Back
Top Bottom