Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
A
Atamfokea ngoja aje๐๐๐Dada angu Yuniki flawa atakufaa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atamfokea ngoja aje๐๐๐Dada angu Yuniki flawa atakufaa sana
Acha tu nteseke akitaka anitoe rohoEndelea kuteseka na akutese kweli kweli
Anaogopa wanaume weusi wanaweza kusababisha uzao wa vitoto vyeusi kama mambaSHida yako unapatikia wanaume weupe, ona asivyojua thamani yako, roho imeniuma sanaa
Wake zangu watakuwa bize na kulea watotoAkutake nani labda hao wake zako ia chagua mmoja
Ameshanipiga za uso hapo juu ๐ ๐ ๐Dada angu Yuniki flawa atakufaa sana
We ni wangu tu, hakuna mwingine๐๐๐Acha tu nteseke akitaka anitoe roho
Ha ha ha.......Ngoja tuone[emoji1]A
Atamfokea ngoja aje[emoji23][emoji23][emoji23]
Hauwez kua serious [emoji1]Ameshanipiga za uso hapo juu ๐ ๐ ๐
Sina shaka nawe, Glenn anasumbuliwa na wivuWe ni wangu tu, hakuna mwingine๐๐๐
Nilijua tu๐Ameshanipiga za uso hapo juu ๐ ๐ ๐
Tatizo anataka niwaache wake zangu wote, na nitamke talaka hapa adharani, ili yeye anikubali, hii si sawa na kutukana mamba kabla ya kuvuka mto ๐ ๐ ๐Hauwez kua serious [emoji1]
Hakika. Ke mwenye hela mingi mingi anakazwa na me asiye na pesa anakojozwa anaridhikaWanasema, pesa inatengeneza hisia feki