Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Lengo ni kufurahi na marafiki, ila mizinga isiwepounachokitafuta hakijawahi kuexist...
narudia tena, haiwezekani.... labda awe mbovuLengo ni kufurahi na marafiki, ila mizinga isiwepo
Unachuki na walimu weweWalimu tarehe zenu hizi,mshahara ukitoka mnatutesa Sana,nikupe boda yangu,unipe ualimu wako
Hapana mkuu,nilikua nasikiliza wimbo wa Roma tu,Sina shida na walimuUnachuki na walimu wewe
Ina maana pisi kali zote zinapiga mizinga?narudia tena, haiwezekani.... labda awe mbovu
Uzuri wa walimu hatuzeeki haraka; miaka 70 kama mtu wa miaka 50Hapana mkuu,nilikua nasikiliza wimbo wa Roma tu,Sina shida na walimu
Ebu tufafanulie kidogo, tuweze kuelewaUnatafuta watu wawili kwa wakati mmoja ee
Mkistaafu Sasa ,ndio hatari,faster tu mnazeeka doubleUzuri wa walimu hatuzeeki haraka; miaka 70 kama mtu wa miaka 50
Tutaendelea kufundisha twisheni; huku na biashara zetu ndogo ndogoM
Mkistaafu Sasa ,ndio hatari,faster tu mnazeeka double
Hata mi mwenye sura mbaya siwezi.narudia tena, haiwezekani.... labda awe mbovu
Labda zari aliyeoa kibenten akilee.Ina maana pisi kali zote zinapiga mizinga?
Inapoteza hisiaHata mi mwenye sura mbaya siwezi.
Wanasema, pesa inatengeneza hisia fekiSabuni ihusike
π€£π€£π€£π€£π€£ππunachokitafuta hakijawahi kuexist...