Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,652
Ni kwamba unaona uvivu kutype au....[emoji2586][emoji2586][emoji2586]
Ainβt emojiβs been typed tooπππnapenda kutumia lugha ya ishara zaidNi kwamba unaona uvivu kutype au....
Nakusubiri wewe tutoke woteToka tu mwenyewe tusichoshaneπ
HunipatiNakusubiri wewe tutoke wote
Wenye ulemavu ndio hutumia sana lugha ya isharaAinβt emojiβs been typed tooπππnapenda kutumia lugha ya ishara zaid
Kwani unapiga mizinga?Hunipati
Daaah dogo langu unahangaika sana.Mrembo gani ambaye ni mkali sana asiyepiga mizinga humu, tutoke naye siku ya sikukuu ya Iddi.
Siku ya sikukuu ni siku ya kufurahi na marafiki; kama una sifa tajwa njoo hapa jukwaani ujieleze namna usivyonipiga mizinga katika siku ya kufurahi na marafiki.
Sasa ulitaka kijana mdogo akufanyie nini kwa mfano?Hunipati
Miss you mzee mwenzanguSasa ulitaka kijana mdogo akufanyie nini kwa mfano?
Miss you kishkwambi changuπMiss you mzee mwenzangu
Hapana mie sipigagi mzinga dear ila naomba hapo elf 40 ya chap nna dharura hapa, i love you my wanguKwani unapiga mizinga?
SHida yako unapatikia wanaume weupe, ona asivyojua thamani yako, roho imeniuma sanaaBora ningekuwa wako tuππππ
Mtu ana rangi Kama ya Lionel Richie nachomokaje Sasa?SHida yako unapatikia wanaume weupe, ona asivyojua thamani yako, roho imeniuma sanaa
Kuna mchongo fulani hivi nausikilizia, ukitiki tu nakuongezea sifuri tatu (000) nyingine, kwa sababu ulichoomba ni kidogo mno.Hapana mie sipigagi mzinga dear ila naomba hapo elf 40 ya chap nna dharura hapa, i love you my wangu
Endelea kuteseka na akutese kweli kweliMtu ana rangi Kama ya Lionel Richie nachomokaje Sasa?