asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,035
Uko sawa kiasi fulani ila unaposema hakuna kitu kama manic depression inaonesha u r not well loaded in this.Just google manic depression and see what u will get.
Manic depression ni tofauti na major depression na dalili zake ni tofauti kabisa.
Manic depression(mania) ni bipolar ambayo kama unavyosema ni kweli kwamba ni vitu viwili tofauti na MAJOR DEPRESSION.
Niki-Google hilo nitapoteza maana ya mimi kwenda chuo.
Narudia mania na depression ni vitu viwili tofauti. (Ukitaka nikupe utofauti nitakupa kwa faida yako)
Hamna kitu kama maniac depression (ilishabadilishwa jina) ila bipolar disorder upo sahihi , na hii inapresent na either features za mania au depression with previous history of depression or mania respectively.
( watu wenye depression hawaongei sana , karekebishe bandiko lako)