Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.

wewe mtu upo insta, uandishi wako ninauonaga kule, ila dizaini kama kimambi kashakuwa sugu vile?? kwa sababu kama ni kuchambwa ameshachambwa sana tuu.
 
Linda ana miaka 43 sasa ameanza life la mamtoni akiwa na 18 tu Italy ni makosa makubwa kumlinganisha Linda na huyu chakubimbi Mange.
 
Sio lazima ucomment post hii kama haina tija kwako!

Halafu unajua uliahidi utapitia kujiunga na sisi kujifunza.
Yaani nakusubiri hapa masaa hutokei nimenunua kifanta changu kimoja nakinywa kwa ile style aliyotufundisha Mange tukiwa lindo kutafuta mabuzi ya kizungu.Lol.
Yaani wahudumu wananitizama hawanimalizi maana wanaona nainywa lkn haisogei.LOL
Ni mwendo wa kunyanyua chupa najifanya napiga fundo kumbe nalamba chupa then nairudisha mezani.
Halafu kuna kibabu cha kizungu hapa kimeingia ngojea ni apply zile mbinu alizotupa Mange.LOL

Njoo bana nimechoka kulamba chupa au foleni kali.
 
Nakuja nakuja,agiza maji madogo!
 
Siku nyingine unapokwenda hotel bajeti yako ya mawazo na unataka kukaa muda mrefu agiza coffee hawakufati tena maana unaletewa kibirika kina maji moto, maziwa, hahawa na tea, sukari kwenye vipaketi na aina fulani ya vibiskuti nimevisahau jina.

Unaweza kuspend half day na laptop yako unafanya yako bila bugudha.

Pale Kilimanjaro hotel kabla hawajaifunga wireless internet yao tulikuwa tunapigana vikumbo na wahindi unadownload mavitu bure huku unasoma magazeti ya bure.
 
hamna sio sintah ila kuna members humu mafisi na wanafki ndo wanaenda kule kuponda huku wanakua wnakuogopa ndo maana wanafanya hvyoo
mi nawaona wehuu tu mana mtu anakupa umaarufu kunuka hv hv..
 
halafu mr wake kapata demu texas ama?maana kafuta picha za anniversary na christimass
mmmhhhhhh ni shidaaa

Halafu akienda texas anapiga picha za ndani kwa wakwe zake anatuwekea,ila kwa wakwe zake wemekuja Christimass,aliweka picha wakiwa out tu,hajawahi kuweka picha za ndani kwake,sijui kwa nini?kwa nini za ndani kwa wakwe anaweka?kwake no.Why?

hahaaaaa abaki njia kuu jamani
kuna child support hukoo majuu
 
Mdau umesahau,hampendi Nargis mohamed sababu ya linda
 
Mdau umesahau,hampendi Nargis mohamed sababu ya linda

Hatari.
Sikua najua hii.
Alimuweka kwa blog yake au?
Kusema kweli Mange anatia huruma.
blogger wote wanashirikiana yeye peke yake ndo katengwa.Wenziwe wanapeana birthday wishes yeye tu ndo hawamuwish wala yeye hawish wenzie.
 
hamna sio sintah ila kuna members humu mafisi na wanafki ndo wanaenda kule kuponda huku wanakua wnakuogopa ndo maana wanafanya hvyoo
mi nawaona wehuu tu mana mtu anakupa umaarufu kunuka hv hv..

Kazi wanayo by the way mimi wala siyo mshabiki wa hizo blog zao za watu wanaopaswa kuwa wodi za vichaa.

Mjengwa blog inatosha sana kwa mahitaji yangu nje ya JF.
 
Kazi wanayo by the way mimi wala siyo mshabiki wa hizo blog zao za watu wanaopaswa kuwa wodi za vichaa.

Mjengwa blog inatosha sana kwa mahitaji yangu nje ya JF.

mi mbona nshachambwa kule sana tena yule aliefanya vile i know why and she is here reading what am talkin abt but i dont give a damn about anythin
zaidi nimewadharauvba kuwaona hawajielewi na nkashangaa kumbe kuna watu wananiogopa aisee daah!!
 
Hatari.
Sikua najua hii.
Alimuweka kwa blog yake au?
Kusema kweli Mange anatia huruma.
blogger wote wanashirikiana yeye peke yake ndo katengwa.Wenziwe wanapeana birthday wishes yeye tu ndo hawamuwish wala yeye hawish wenzie.

kosa ni kitendo cha nargis kulike picha za watoto wa mange kwa mbuta nanga kipindi cha ugomviugomvi wao
ndo akasema we muache tu ipo siku ake na akaacha wwatu wamchambe nargiss ANGEJUA NARGIS anamzidi alivyo mkyutiiiiii
 
Mamaa alimtukana eti amepinda kiuno cjui nn na kuachia comments za misukule yake ikimnanga mtt wa nargis eti wa sura,mhh mange huyo kisa nargis ana undugu na linda jaman,kwel nimeamini ana stress za kuzidiwa kimaisha na wenzie,afu ana hii tabia ya kuthamini wazungu why jamani,?yn kuolewa na mzungu anaona amefika haswaaa huyo mzungu atamuacha vibaya sn as wazungu uswazi hawawez na lazima hata huyo lance anafanyiwa vituko tu,namuonea huruma sn mange as hajitambui na elimu yake haijamsaidia kitu mskini
 
kosa ni kitendo cha nargis kulike picha za watoto wa mange kwa mbuta nanga kipindi cha ugomviugomvi wao
ndo akasema we muache tu ipo siku ake na akaacha wwatu wamchambe nargiss ANGEJUA NARGIS anamzidi alivyo mkyutiiiiii

Nargis m cute halafu anaonekana mpole.
Yule kafikia mahali hajui nani mwema nani mbaya.
Sasa anasema ipo siku yake kwani atamfanyaje zaid yakumuandikia gazeti.
Na hao aliowaandikia magazeti yake sijaona hata mmoja wao aliyemeguka sehemu sana sana yeye ndo anajizidishia stress.
 
halafu mr wake kapata demu texas ama?maana kafuta picha za anniversary na christimass

au ndo maana bi shost kajinadi ana stress?
Akiachwa atawehuka yule, namuombea tu yaishe na stress zake ziishe maana mashauzi yake ni ya peke yake.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…