mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,625
Ila kimemkumba maana juzi katoka kumtukana mwanamke Zari asiyemjua ambae watoto walikuwa na baba yao for new year baada ya kuwa nao xmas. na bday mtoto mmoja akawa na baba yake
aliiingilia utadhani yeye Mungu,malipo hapa hapa duniani, mwanae kakataa kurudi. Now yupo busy anabembeleza ili arudi kwake. I hope kajitambua tabia zake na u mama mbovu kumfanyisha mwanae kama msaidizi etc.
ila baada ya kuachiwa mwanamke atukanwe sababu ya watoto na hajui mipango yao kifamilia, nami sitashangaa akitukanwa au kuchekwa. hiyo ni hata mwezi badoooo......
Malipo ni hapa hapa duniani.