Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Ila kimemkumba maana juzi katoka kumtukana mwanamke Zari asiyemjua ambae watoto walikuwa na baba yao for new year baada ya kuwa nao xmas. na bday mtoto mmoja akawa na baba yake

aliiingilia utadhani yeye Mungu,malipo hapa hapa duniani, mwanae kakataa kurudi. Now yupo busy anabembeleza ili arudi kwake. I hope kajitambua tabia zake na u mama mbovu kumfanyisha mwanae kama msaidizi etc.

ila baada ya kuachiwa mwanamke atukanwe sababu ya watoto na hajui mipango yao kifamilia, nami sitashangaa akitukanwa au kuchekwa. hiyo ni hata mwezi badoooo......

Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Zari ame takeover maisha ya Mange.Kina nikiona gazeti jipya natamani nipande ndege hadi USA nikamlishe baby Keanu maskini.I love that kid ,soo cute.
 
bhoke karudi marekani kwa mama yake

No,baba yake yupo London,naona alikuwa ndo kawa yaya huk USA,kagoma kurudi kwa mama yake.Kaona bora kuishi na baba yake pamoja na step mom,kuliko kuishi na mama na step dad wake

poor little angel, bora akajikalie kwa dady ake masikini...mi namuonaga hata sura yake inatia huruma kumbe sio tu upole ila ana yake moyoni

Baba wa binti anaishi London na mkewe na watoto wao ila wakubwa sio wakubwa wa mwisho labda miaka 5/6. Makazi ndio London ila baba anafanya shughuli nyingi so anakuwaga TZ sana.

So kwa sasa hivi wapo mjini London. Na baba ndiye aliemlea binti hadi juzi juzi hapa mama yake alipomuomba kumchukua alipopata mzungu na kuhamia kwa Obama... so naona mtoto yamemshinda ni kazi kuwa mkubwa na wadogo zako ni babies KAZI nyingi.... Nadhani aliandikaga binti alizaliwaga marekani.
 
Attachments

  • 1421828440030.jpg
    1421828440030.jpg
    68.6 KB · Views: 461
  • 1421828451353.jpg
    1421828451353.jpg
    56.6 KB · Views: 434
bhoke karudi marekani kwa mama yake

Bora amerudi aisee maana Bhoke ndo Shoga pekee Mange aliye naye.Pia afadhali Bhoke atakua anamhudumia Keanu wakati mamake aka dogiemasta akiwa anapambana na Zari.
Btw,kama mtu anataka nimhakikishie kuwa Mange ndio dogiemasta anitafute Pm.Account ya dougiemasta itamtia Mange uchizi.Akitoka Ig anakwenda U turn.Akiwa kama dougiemasta anabadilika hlf anajifanya mjinga mjinga halafu anaandika kiingereza kibaya.Ni mjanja hadi Chaga adui yake amemsifia ili kuwapumbaza watu ila hata mtu uwe mjanja vipi kuna siku utakosea tu.Watu wana mchora tu na akija na kuna kitu mtakisikia muda sio mrefu sijui mtamuonea huruma au mtamdharau mtaamua wenyewe.
 
Mange amemkalia kooni Zari kama mchawi!!haaaa,kakazana kujikomentisha kwa sintah,eti sintah anamchukia Weme!Anataka yeye akimchukia kila mtu alie na hitilafu na Wema sintah naye afanye the same!!Mange is so damn lonely jamani,anony ndio friends wake,namwombea asije siku akacommit suicide!
 
Zari ame takeover maisha ya Mange.Kina nikiona gazeti jipya natamani nipande ndege hadi USA nikamlishe baby Keanu maskini.I love that kid ,soo cute.

Uwiiiiii,ameshusha gazeti jengine tena?Ngoja niende nikachungulie maana nina kama wiki 2 sijaenda huko wala kwa sintah.
 
Bora amerudi aisee maana Bhoke ndo Shoga pekee Mange aliye naye.Pia afadhali Bhoke atakua anamhudumia Keanu wakati mamake aka dogiemasta akiwa anapambana na Zari.
Btw,kama mtu anataka nimhakikishie kuwa Mange ndio dogiemasta anitafute Pm.Account ya dougiemasta itamtia Mange uchizi.Akitoka Ig anakwenda U turn.Akiwa kama dougiemasta anabadilika hlf anajifanya mjinga mjinga halafu anaandika kiingereza kibaya.Ni mjanja hadi Chaga adui yake amemsifia ili kuwapumbaza watu ila hata mtu uwe mjanja vipi kuna siku utakosea tu.Watu wana mchora tu na akija na kuna kitu mtakisikia muda sio mrefu sijui mtamuonea huruma au mtamdharau mtaamua wenyewe.

kitu gani tena?
hebu nipm umbea huo pliis
 
Ni kweli huyo dogy atakua ni mange,,,,,halaf wanaomshabikia wanafanana kila kitu na Mange,hiyo list ya aliokosana nao kuna wengine umewasahau ila umenichekesha sana huu uzi,,niliona insta team ukweli kaweka sebule yake chafuu muda mwingi anashinda kuandika magazeti hhhhhhaaaa bora bhoke karudi aangalie wadogo zake
 
Mhh shost mbona niliona mnyukano kati ya dougiemasta na Matikiboko yao...n dougie kalalamika Matty aliweka picha yake kisa anamdai...au ndo zuga style...!!!!????

ila nakuja pm, umbea utaniua
 
Ni shost mwingine sio matikibokoyao bana,
 
Bora amerudi aisee maana Bhoke ndo Shoga pekee Mange aliye naye.Pia afadhali Bhoke atakua anamhudumia Keanu wakati mamake aka dogiemasta akiwa anapambana na Zari.
Btw,kama mtu anataka nimhakikishie kuwa Mange ndio dogiemasta anitafute Pm.Account ya dougiemasta itamtia Mange uchizi.Akitoka Ig anakwenda U turn.Akiwa kama dougiemasta anabadilika hlf anajifanya mjinga mjinga halafu anaandika kiingereza kibaya.Ni mjanja hadi Chaga adui yake amemsifia ili kuwapumbaza watu ila hata mtu uwe mjanja vipi kuna siku utakosea tu.Watu wana mchora tu na akija na kuna kitu mtakisikia muda sio mrefu sijui mtamuonea huruma au mtamdharau mtaamua wenyewe.
Ni pm umbeya na mimi jamani
 
Ni kweli huyo dogy atakua ni mange,,,,,halaf wanaomshabikia wanafanana kila kitu na Mange,hiyo list ya aliokosana nao kuna wengine umewasahau ila umenichekesha sana huu uzi,,niliona insta team ukweli kaweka sebule yake chafuu muda mwingi anashinda kuandika magazeti hhhhhhaaaa bora bhoke karudi aangalie wadogo zake

binamu mmmwaaaaaaaaa hatimae upo insta
woyyyuuoooooo
 
binamu mmmwaaaaaaaaa hatimae upo insta
woyyyuuoooooo

Heheeeeeeeeee lakini mbona sio tamu vile,,
Mwaaaaaaaaaaaaaa too
Niliona kwa sinta kina Nifa wamechambwa na matola uliona nilicheka sio huyo huyo alietuchamba siee
 
Ni kweli huyo dogy atakua ni mange,,,,,halaf wanaomshabikia wanafanana kila kitu na Mange,hiyo list ya aliokosana nao kuna wengine umewasahau ila umenichekesha sana huu uzi,,niliona insta team ukweli kaweka sebule yake chafuu muda mwingi anashinda kuandika magazeti hhhhhhaaaa bora bhoke karudi aangalie wadogo zake

Shoga mambo umepotea....juzi kuna mtu aliweka uzi kulikua na mashtaka juu yako
 
Heheeeeeeeeee lakini mbona sio tamu vile,,
Mwaaaaaaaaaaaaaa too
Niliona kwa sinta kina Nifa wamechambwa na matola uliona nilicheka sio huyo huyo alietuchamba siee

ngoja upambe moto utablow
niliona best siku hz anachambwa matola ssna then kuna yule si mange kuna wasambinungwa humuuu wanajifanya waoga ndo wanaenda kutukana kuleee
 
Hhhhaaaa ndio ni wa humu humu halaf et anajifanya hayupo jamiii
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom