Inawezekanaaa atiii
Mhh shost mbona niliona mnyukano kati ya dougiemasta na Matikiboko yao...n dougie kalalamika Matty aliweka picha yake kisa anamdai...au ndo zuga style...!!!!????
ila nakuja pm, umbea utaniua
Shoga mambo umepotea....juzi kuna mtu aliweka uzi kulikua na mashtaka juu yako
Hhhhaaaa ndio ni wa humu humu halaf et anajifanya hayupo jamiii
dogy sio mange dogy km shombe flani hv na ile ishu ni ukweli sema madame aliwapatanisha tuu
hahahawaaaaaKuna yule anaejiita mume wa dogy ndio aliweka picha ya dogy ikionyesha mgongo, huo ushombe usidanganywe na manywele ya salon
pathetic like their boss!!mi sijali kulipoa hukuepo bora umerudi afu bina tayari niniiiiiii.....?!!!
Kuna yule anaejiita mume wa dogy ndio aliweka picha ya dogy ikionyesha mgongo, huo ushombe usidanganywe na manywele ya salon
usicheke unajua mwenyewe...!!Hhhhhaaaa tayarii niniiiiiii teh.......!!
hahahawaaaaa
hawana lolote wanalipwa wale na wema
Ni kweli kabisaa
Nipo shogaaa,,mashtaka yapi hayo alipata msaada sasa si bora angenipigia au akaja kwangu akashtaki huku anakunywa coca yenye jina lake
Mliishia kucheka tu ngoja niwekee screen shoot
dogy sio mange dogy km shombe flani hv na ile ishu ni ukweli sema madame aliwapatanisha tuu
Ndo maana sielewi elewi...manake dogy anaonekana yupo bongo.
Halafu nimejiulizaaa...hivi biashara ya UDI ndo hadi safari za Dubai?!!! au ngadaaa?
Hhhhhhaaaaaaaaaa nami nashangaaa et udi tu
Mhh...ingekuwa rahisi hivyo basi watu wangeenda Dubai kama wanaenda kariakoo...na huo UDI wanapita kuuza SAA ngapi wakati kutwa wako insta kumwaga mitusi?!!
Heri yetu sie tunajulikana team jobless...
Hhhhhhhaaa yaan insta wameajiriwa halaf na udi wanauza upoooo team.jobless oyeeeeeeeeeee
udi udi na pafyumu km unachukua jumla unafata tu dubaiNdo maana sielewi elewi...manake dogy anaonekana yupo bongo.
Halafu nimejiulizaaa...hivi biashara ya UDI ndo hadi safari za Dubai?!!! au ngadaaa?