udi udi na pafyumu km unachukua jumla unafata tu dubai
ila yule dogi nyokkkoooo
mi shosti tukigombana kuongea mambo simtaki na simsamehi mapema
wale wote malaya tuuu
yaani aibu tupu then wakajifanya kuzuga kumgeuzia mtu kibao kumbe wao wenyeweIla ndo MTU aanze maisha chumba cha kupangiwa na godoro la kupewa, mtaji wa kusaidiwa...baada ya miezi sita kwa biashara ya kuuza UDI tu anaanza safari za Dubai na China kama anaenda posta...
Kumbe maisha marahisi hivyo...
aaa wapi wale malaya na mapunda pia we si umeona walivyo km yule maty
Ule ni mshahara wao wa dhambi, wao si wanajifanya mabingwa wa kutukana wenzao, hatimaye wameumbuana....
Jamani,Mange the mental case,kashusha magazeti ya hatariiiii kule u-turn,this time ni dhidi ya Linda,Flora na rachel temu!!dah!what a sad life!!
Ila wamemchokozaa jaman mi niliona kuna mtu anajiita Linda kiboko ya mange kila siku anamtukana mange,mbutananga fan na arsenal wenger kila siku kumtukana mange nikaona hapa magazet tamekaribia kushushwa anasema team ukweli na uwaz ni Mbuta basi nae ni kweli ni dogymasta,,,hao watu kwa kutukanana ni shidaaaaa queenkami Kim nana Heaven on Earth tofali ladykim mkuje kushakucha zamaniiiiiii
Heheeeeeeeeee lakini mbona sio tamu vile,,
Mwaaaaaaaaaaaaaa too
Niliona kwa sinta kina Nifa wamechambwa na matola uliona nilicheka sio huyo huyo alietuchamba siee
Ila wamemchokoza wenyewe kama wanataka kutukana wangemtukana mange kama mange sasa wanawaingiza watoto siyo vizuri watoto wanaumaIla wamemchokozaa jaman mi niliona kuna mtu anajiita Linda kiboko ya mange kila siku anamtukana mange,mbutananga fan na arsenal wenger kila siku kumtukana mange nikaona hapa magazet tamekaribia kushushwa anasema team ukweli na uwaz ni Mbuta basi nae ni kweli ni dogymasta,,,hao watu kwa kutukanana ni shidaaaaa queenkami Kim nana Heaven on Earth tofali ladykim mkuje kushakucha zamaniiiiiii
Ila wamemchokozaa jaman mi niliona kuna mtu anajiita Linda kiboko ya mange kila siku anamtukana mange,mbutananga fan na arsenal wenger kila siku kumtukana mange nikaona hapa magazet tamekaribia kushushwa anasema team ukweli na uwaz ni Mbuta basi nae ni kweli ni dogymasta,,,hao watu kwa kutukanana ni shidaaaaa queenkami Kim nana Heaven on Earth tofali ladykim mkuje kushakucha zamaniiiiiii
Yaani kaandika kwa hisia na kaporomosha mijineno mpaka akawa anakosea kuandika,nadhani atakuwa alikua anatetemeka!amemchamba hadi mume wa Linda,kweli maisha yake amejitolea ugomvi!!
Ni kwa kuwa last time Mange alisema hakuna anayemuweza kwenye yale mambo,kipindi kile cha Mbuta alipomwita Koku baboon.Looking at their Lives and history Mange ni super convict wa ugomvi!Hawa wakina linda wamejitakia wenyewe wanajua kabisa mange ni mama magazeti na kuchamba kwake ni kitu cha kawaida sijui kwa nini wanamchokoza
Ni kwa kuwa last time Mange alisema hakuna anayemuweza kwenye yale mambo,kipindi kile cha Mbuta alipomwita Koku baboon.Looking at their Lives and history Mange ni super convict wa ugomvi!
Yaani kaandika kwa hisia na kaporomosha mijineno mpaka akawa anakosea kuandika,nadhani atakuwa alikua anatetemeka!amemchamba hadi mume wa Linda,kweli maisha yake amejitolea ugomvi!!
Sasa sijui ataenda immigration ili linda awe deported
aisee mmmmhhh
mi sijaona jipya yote ya zamani pale
nimemuonea huruma sana MANGE kwa kweli
maana yale yote alishayaandikaga kipindi hicho
any way shauri zao
Wamemchokoza wenyewe alinyamaza wakamwona mjinga siye wengine tutabaki watamazajiAtawatumia watu wake,kweli atamchoma!
Wamemchokoza wenyewe alinyamaza wakamwona mjinga siye wengine tutabaki watamazaji