Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,709
udi udi na pafyumu km unachukua jumla unafata tu dubai
ila yule dogi nyokkkoooo
mi shosti tukigombana kuongea mambo simtaki na simsamehi mapema
wale wote malaya tuuu
Ila ndo MTU aanze maisha chumba cha kupangiwa na godoro la kupewa, mtaji wa kusaidiwa...baada ya miezi sita kwa biashara ya kuuza UDI tu anaanza safari za Dubai na China kama anaenda posta...
Kumbe maisha marahisi hivyo...
Ule ni mshahara wao wa dhambi, wao si wanajifanya mabingwa wa kutukana wenzao, hatimaye wameumbuana....