Afu mbona mie mida hii ya jioni blog take haifunguki ndio kichaa kimenibloku nini
Nimeona kule U turn umechambwa wewe na Matola. Yule atakuwa Mange mwenyewe kumbe anapitaga humuu...Dawa imemwingiaa
kwa nini mamito ?mi siingiagi u turn ujue na siendi ht kidogo km lengo lake niende?
achambe akimaliza asisahau kufagilia kaburi la mama ake
yule anaemtukana leo jamani ni mtu wangu wa karibu sana dah yani siamini
Uende U-turn kuna lipi la maana? Msengerema tu yule.
we muache tu ipo siku yake siku zote mwisho wa ubaya aibu ndo itakayomkutaNimemwona mama may her soul rest in peace ila huyu mtoto kapagawa huku, ivi hakuna namna mzungu wake akaona anayoyafanya kwenye hio blogu yake????
Afu mbona mie mida hii ya jioni blog take haifunguki ndio kichaa kimenibloku nini
Labda pia ni wakati muafakaa kwenda kuongea na vodacom Customer care Services au Corporate Services this Is madness has to stop Sio vizuri Watu wazima wakavuana nguo barabarani!!!!
Viola huko alipo anajuta masikini, maana kuna mtu kasema huyo mchepuko Samwel Massawe ana ngoma, muda mrefu anashangaa Viola kujiingiza.
Mkewe alishakufa na huo ugonjwa siku nyingi, yaani Viola kaacha si utupu tu bali maini na figo nje.
Jamani watu wajifunze kuanzia sasa, wamuache na maisha yake kabisa huyo Mange.
Maana si laana tu na uchizi ndani, sasa mtu wa hivi wa kazi gani kumtukana? Wakati yeye mwenyewe maisha yake tu kishajitukana.
Lah sivyo watu wataendelewa kutundikwa maisha yao na ukoo wote na huyo Mange.
Ndio huyo mweusi wa upande wa kushoto eeh?
May her soul rest in peace....Aamin!
we muache tu ipo siku yake siku zote mwisho wa ubaya aibu ndo itakayomkuta
Hao wanaoenda kutukana watu wa humu kwenye blogs tupo nao humuhumu JF.
Mimi last week nimechambwa kwa sintah eti namnyenyekea Matola!Kama mtu anajiamini anifuate huku ndio atakoma.Atarudi akawahadithie wenzie.Wapuuzi sana.
hahahaha et chupa ya chai ya pink ya kariakoo lol huyo mume wake huyo dada akizipata habari sijui itakuwaje nahisi viola atakua ICU watu watakuwa waoga kujiachia instaa maana anyday unaweza kuchambuliwa
Kwanini hampendi mama Yake? Au hakuwaga msomi? Jamani mama Wa watu
Wanakuogopaa ndio maana wanaenda mtaa wa pili kumbe wanapitaga Huku hahahahahahahaha