Amewatusi kwenye comments au gazeti jipya?
Inasumbua anaweka updates...
achambe akimaliza asisahau kufagilia kaburi la mama ake
Nimemwona mama may her soul rest in peace ila huyu mtoto kapagawa huku, ivi hakuna namna mzungu wake akaona anayoyafanya kwenye hio blogu yake????
Labda pia ni wakati muafakaa kwenda kuongea na vodacom Customer care Services au Corporate Services this Is madness has to stop Sio vizuri Watu wazima wakavuana nguo barabarani!!!!
hakuna tusi jipya chini ya jua
mama ake tunamtaka
we muache tu ipo siku yake siku zote mwisho wa ubaya aibu ndo itakayomkuta
voda wanamlia mingo tu
yani wale wadada km yule mwingine my very close person simtaji namhifadhi halafu mstaarabu jamani na wazazi sasa wastaarabu hatari anaona donge ye kaolewa us mume kafulia ptuuuu anabaki kutukana wenzie waliowahi hapahapa bongooo
wapiii dada achana nae na mungu ailinde ndoa yako miaka elffffff
Hao wanaoenda kutukana watu wa humu kwenye blogs tupo nao humuhumu JF.
Mimi last week nimechambwa kwa sintah eti namnyenyekea Matola!Kama mtu anajiamini anifuate huku ndio atakoma.Atarudi akawahadithie wenzie.Wapuuzi sana.
hv yule anampenda nani?zaidi ya ye mwenyewe na huyu nasritio yaonekana ni ndugu yake mange kwa mama ake
hv yule anampenda nani?zaidi ya ye mwenyewe na huyu nasritio yaonekana ni ndugu yake mange kwa mama ake
dio hapo ushangae ivies unaware kubishana name chizi kama we mwenyewe so chizi kwikwikwi a a a a haha nah page wanazijaza kumjadili chizi daaah alafu eti eeh watu anaowatukana wastarabu ivi unawezaje kua mstaarabu mtu mwenyemume na shughuli zako kuchambana ig kweli ...Wanawake bwana Hovyo sana , sasa Mushamjua Mange chizi , hana Wazazi , hana wakwe waswahili nyie wenye Maisha yenu mazuri ya staha na Mitandio yenu yanini kushabikia Ugomvi wa chizi ?? Hapo ndipo ninapowadharau Mke wa mtu upo IG unamtukana Mange wewe ni Dent mnagombea Kaka Mkuu wa shule ?? Wanafiki wakubwa si mfanye yenu ? Nyooooo mtu umeona anamashauzi ohoo analaaana pita naye mbali kutwa kumsimanga ni ndugu yenu ?? Akijavua Nguo hadharani nyie mtapata aibu ?? au mtacheka kutwa , hebu leeni Familia zenu bwana , MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI MNAMTUKANA SANA HUKO KWENYE MADUDU YENU YA IG ! OVER :shetani: WAKUBWA WOTE MNAOSHABIKIA UJINGA !
ni siogopi matusi labda jpya duniani siku likishuka
Wanawake bwana Hovyo sana , sasa Mushamjua Mange chizi , hana Wazazi , hana wakwe waswahili nyie wenye Maisha yenu mazuri ya staha na Mitandio yenu yanini kushabikia Ugomvi wa chizi ?? Hapo ndipo ninapowadharau Mke wa mtu upo IG unamtukana Mange wewe ni Dent mnagombea Kaka Mkuu wa shule ?? Wanafiki wakubwa si mfanye yenu ? Nyooooo mtu umeona anamashauzi ohoo analaaana pita naye mbali kutwa kumsimanga ni ndugu yenu ?? Akijavua Nguo hadharani nyie mtapata aibu ?? au mtacheka kutwa , hebu leeni Familia zenu bwana , MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI MNAMTUKANA SANA HUKO KWENYE MADUDU YENU YA IG ! OVER :shetani: WAKUBWA WOTE MNAOSHABIKIA UJINGA !
Mwisho wa haya maugomvi utakuwa mbaya
mwisho kutembelea makaburini alikolala dec 26 last year mama angu mlezi leo nimemtumia pesa ya asante kunilea?una lingine?Muda mnao wewe Mama yako umempelekea sukari lini mara ya mwisho ???
Jiandaeni na Exclusive show hapahapa JF na jukwaa ni hili hili muda ni saa 9 usiku kwa saa za East Africa.
Hii show inaitwa Is hard to beleive.
Star: Mzee Kimambi, siku nitawatajia kuna mgeni atawaletea hii show na yupo tayari kupigwa ban.
Mjiandae kudownload fasta, wengine hatuna muda wa kuandika gazeti wala kuchamba mavi ya tigo mbovu.
Kama Wewe mwenyewe Mange
mwisho kutembelea makaburini alikolala dec 26 last year mama angu mlezi leo nimemtumia pesa ya asante kunilea?una lingine?
dio hapo ushangae ivies unaware kubishana name chizi kama we mwenyewe so chizi kwikwikwi a a a a haha nah page wanazijaza kumjadili chizi daaah alafu eti eeh watu anaowatukana wastarabu ivi unawezaje kua mstaarabu mtu mwenyemume na shughuli zako kuchambana ig kweli ...
???
wa kushoto huyo mwingine dk mwele anajifanyaga mama ake kumbe alikua mchepuko wa mshua wake
Jiandaeni na Exclusive show hapahapa JF na jukwaa ni hili hili muda ni saa 9 usiku kwa saa za East Africa.
Hii show inaitwa Is hard to beleive.
Star: Mzee Kimambi, siku nitawatajia kuna mgeni atawaletea hii show na yupo tayari kupigwa ban.
Mjiandae kudownload fasta, wengine hatuna muda wa kuandika gazeti wala kuchamba mavi ya tigo mbovu.
sio mange huyu ila ni mtu wake karibu sana huyu mi nampendaga tu huyu dada sifichi ila ananikera ana matusi huyu nyasamaki usihis najipendekeza kwako wala na ht usiponipenda shauri yako