Wanawake bwana Hovyo sana , sasa Mushamjua Mange chizi , hana Wazazi , hana wakwe waswahili nyie wenye Maisha yenu mazuri ya staha na Mitandio yenu yanini kushabikia Ugomvi wa chizi ?? Hapo ndipo ninapowadharau Mke wa mtu upo IG unamtukana Mange wewe ni Dent mnagombea Kaka Mkuu wa shule ?? Wanafiki wakubwa si mfanye yenu ? Nyooooo mtu umeona anamashauzi ohoo analaaana pita naye mbali kutwa kumsimanga ni ndugu yenu ?? Akijavua Nguo hadharani nyie mtapata aibu ?? au mtacheka kutwa , hebu leeni Familia zenu bwana , MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI MNAMTUKANA SANA HUKO KWENYE MADUDU YENU YA IG ! OVER :shetani: WAKUBWA WOTE MNAOSHABIKIA UJINGA !