Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Ukiona watu wanapost udaku hapa sio kwamba wana miujiza fulani ngoja nikusaidie,kama haupo IG kama mzee mimi tembelea sintah.com,u-turn,udaku specially,umbeya mtupu, na kwa kufupisha muda nenda global pubishers!

Hii ya baba yake Mange kujiuwa kwa aibu ni kabla ya hizi dot com, ni enzi za mikanda ya video ya VHS hata Vcd bado.

Namshangaa sana Mange simmalizi, na hapo amepita shule angekosa shule sipati picha ingekuwaje!!
 
Hii ya baba yake Mange kujiuwa kwa aibu ni kabla ya hizi dot com, ni enzi za mikanda ya video ya VHS hata Vcd bado.

Namshangaa sana Mange simmalizi, na hapo amepita shule angekosa shule sipati picha ingekuwaje!!

Nasikia alimegwa,sina uhakika ila!
 
Zari mwenyewe anaoenda kujishow off

Mnamshambulia mange wakati zari kapata umaarufu aliokuwa anautafuta

Viazi kweli nyie tena viazi vicherema

Hao mastaa mavi ya kuku wanawatumia na nyie mnatumika bila kujua
 
Mange hana tofauti na Le mutuz...wanapenda kudandia matukio hatari....

Huko uzeeni watakuwa wachawi hawa...

hahahaaaaa jana ninekosa mengi moe
shosti umenikosha balaaaaaa
mi nikisemaga naonekanaga hater hapa yule dada jamani abnormal
 

ana roho mbaya nami ndo siku hizi naiba mishono kwa eve mi kwanza ht blog yake siingi mara kwa mara maana amezidi jamani
ukitaka kujua mtu mshari anngalia idadi ya aliogombana nao
 
umeona eeeh anajua akimponda wema bas viminyondo vyake vitamdodea maana wema ana wapambe wengi

hajielewi ana roho mbaya mimi jamani mange nilikia nampenda sana toka enzi niko mdogo form one or two miaka almost kumi iliyopita na nlikua namfatilia sana enzi zile hamna ht mitandao km sasa ila mwaka juzi nilianza kumchukia rasmi alivyogombana na sintah,shamim na rachel temu nkajua huyu dada sio
ana roho mbaya kiukweli kabisa
 
hahaaaaa na acha wale wa mtaani kwake ndugu upande wa mama ake asiowataka
 
Mie bado najisemea dogimasta kule insta ni huyu Mane maana nilichokiona kwa repost ya mtu maneno anavyotaka Diamond ashuke chini ni yeye yeye sema kwa blog hawezi andika yote so anamalizia kwa fake account yake.

hamna sio mange yule pale ni mtu mwingine tuu ila hampendi zari kuna mtu nnamhisihisi km ndo yeye
 
Hajaongeza chumvi tena wengine kawasahau kama yule binti mrembo alikuwa anatangaza itv jackpot bingo nimemsahau jina ameolewa na mzungu yuko marekani nadhani. Yaani al

tk (tedy kalonga)
 
Zari mwenyewe anaoenda kujishow off

Mnamshambulia mange wakati zari kapata umaarufu aliokuwa anautafuta

Viazi kweli nyie tena viazi vicherema

Hao mastaa mavi ya kuku wanawatumia na nyie mnatumika bila kujua
ukitoka hapa katutukane kwa sintah km kawaida yenu
but truth should be told
zaariiiiii waumize rohoooo haooo
bila ugomvi haendi kunya bosi wenu
 
ukitoka hapa katutukane kwa sintah km kawaida yenu
but truth should be told
zaariiiiii waumize rohoooo haooo
bila ugomvi haendi kunya bosi wenu
Hata wakitukana,ukweli unabaki palepale!!Mange ni goldigger,ana roho mbaya pia ana wivu!She's an ice queen!!Anavojua kuwachambua wenzie yeye sura imemkomaa kabreach uso kama mcongo na bado hapendezi,nlimpendaga zamani ila nilivoona yeye raha yake ni ugomvi haa!mahaba yakaisha,alimzushia dada wa flare mkt sijui eti anawazuia wateja wake!!Kweli jamani ujasiriamali umkomboe peke yake!
 

umeonaaa eeeh siku zinavyoongezeka watu tunazidi kujiuliza ni mtu wa aina gani huyu?
wanaendaga kutuchamba kwa sintah misukule yake
 
Nasikia alimegwa,sina uhakika ila!

Alikuwa na mapesa akatumia kama fimbo za kuwatombea wengine akawekea mtego akanasa akaliwa samvu la kopo video kwenye VHS wakapelekewa wake zake wote wawili wajionee mume wao alivyovalishwa shanga na kupigwa ukuni.

Huyu Mange anapata wapi jeuri ya kutukana watu? Mimi namchukulia yuko insane othewise mtu aniprove wrong with vivid evidence.
 

yaani ndo maana bintie yuko vile ana hasira na kila mtu maana anajua kila mtu anamcheka
 
tk (tedy kalonga)

Eheee swadakta ndiyo huyo huyo jamani alimtukanaga mdada wa watu ukiangalia chanzo ni wivu tu hakuna kingine. Nikikukumbuka alivyokuwa anakula bata na Kiki Dubai sikutegemea kuna siku atamchukia Kiki kiasi hicho. Mange asipoangalia ataungana na professa Maji marefu siyo siri.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…