Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Yaani jinsi anavyomchukia Zari bila sababu ndo unajua kabisa huyu mtu kumbe ana wivu.
Mange aliposema hajampa Keanu Uji siyo kweli,kama hujamjua Mange ana asili flani ya Comedy,hakuwa akimaanisha
na vimiguu vyake kama mishikio ya ndoo...
Mange hana tofauti na Wema,hapendi rafikize wawe juu yake,anapenda aonekane yeye tu,na hapo ndio tatizo lake
Sasa yeye na Zari wapi na wapi ka sio kujitafutia vidonda vya tumbo bure.Mbaya Zari wa watu hajamkosea kitu hata kumjua hamjui.
Alikuwa anamaanisha sana,alitaka tuone kiasi gani swala la zari lilimkera na kuwa lilimtatiza sana that's why she devoted her time and forsaked her young baby!ile ni misifa ilikua pale ila ndo kaharibu!!
Dude una hasira na matola duu
Y don't u prove him kwa uongo
How old is zari and king Ivan?
Bila kusahau alimshutumu lawyer mmoja wa IMMA kuqa kambaka, sikumbuki lini ila labda ndio ilikuwa ticket ya kwenda dubai...mtu aliyetaka kubakwa kiukweli anaweza kukaa chini kuongelea mambo ya wanawake wenzake bila kukumbukia tukio? Natumaini hakutungaga na kusema ilikuwa wakati yeye alishindwa kumpata.
Chezea marekani maisha yako juu plus Dubai hakuwa na watoto watatu. Sasa mume Landscape Engineer labda anatengeneza 100, 000 usd a year labda na yeye biashara zake another 100, 000usd a year. Matumizi ya kuishi sijui alisema wamenunua nyumba beverly hills hiyo mortgage balaa si chini ya 4,000usd monthly, bado groceries family of five easily 1,000 a month hujalipa kayene around 800usd a month sijui day care 1,500usd monthly, sijui insurance, sijui mitoko ya hatari ya kupost kwa blog, I can list the bills here ndo ukiona kapauka hapendezi tena kama Dubai elewa its just life la Cali sio mchezo. Thats just my opinion I could be completly off.....
Hamna kitu kama manic depression.....I meant ana manic depresion or mania as u said which still ni depresion.Hii ndio inamfanya mtu anaongea sana kama Mange.Lol
Yeah alivyokua Dubai alikua anapendeza sana.
Hamna kitu kama manic depression.....
Halafu mania haiwezi kuwa sawa na depression.
Kwa kifupi na lugha nyepesi depression ni kinyume cha mania.
Jamani yeye mwenyewe says she aint happy,she is so low!kila mtu huwa anapitia matatizo,ila nadhani yeye matatizo yake chimbuko lake ni kwenye ubongo wake,kwa kifupi amevurugwa wataalam wa saikolojia wanajua,she is so aggressive,muda wote ni kama anapambana vile,aaah kavurugwa sio siri!
Halafu siku hizi upuuzi wote wa IG kwake ndo habari za maana.
Huwa unaenda kufanyaje sasa...... kama anaweka upuuzi wa IG
Swali zuri sana hili, mimi hivi viblogu uchwara huwa sina bundle ya kupoteza si ya Mange wala Sinta wala Le Mutuz.
Niko confotable sana na Mjengwa blog.
Kuna siku niliona wanakuponda kwa Sintah Blog nikachekaje Mpwa.......
kuna wtu wajinga jamani...........
si kweli zari bado bikra
Kuna mtu alinistuwa ndio ikawa mara yangu ya kwanza na ya mwisho kupita uko.
Mtu humjui hakujui akakushupalie kwenye blog kwa mambo ya JF kama si uchizi kitu gani?
Ila kwa Intelijensia yangu nimebaini Sinta hapa ni member na hoja za hapa zinamzidi kimo ndio hasira zake anahamishia kwenye kiblog chake.
Blog zote kabla ya kupublish comment zinapitiwa kwanza, kwahiyo upumbavu wowote ukiukuta kwenye blog ujuwe una baraka zote za mmiliki.