Nlichagua kusoma biashara sababu mwl wangu wa science alikua mkaliii na ana watu wake anaowapenda yeye..Hongera!
Taaluma yk ni IPI!?
Kwanini uliichagua
DJ sepetu
[emoji122] [emoji122] unafurahia hiyo kazi au ni kwakuwa hakukuwa Na namna ingine!Nlichagua kusoma biashara sababu mwl wangu wa science alikua mkaliii na ana watu wake anaowapenda yeye..
Nkaishia soma ECA,then degree ya uhasibu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafurahia sana kua mhasibu cos nimeisoma from the roots..[emoji122] [emoji122] unafurahia hiyo kazi au ni kwakuwa hakukuwa Na namna ingine!
DJ sepetu
Good utakuwa Na dondoo kidogo za ujasiriamali!!Nafurahia sana kua mhasibu cos nimeisoma from the roots..
Nlikua na option nyingi za course za kusoma ila still Nika-opt accountancy!
Sent using Jamii Forums mobile app
Lunch time we would be back at 3pmNlichagua kusoma biashara sababu mwl wangu wa science alikua mkaliii na ana watu wake anaowapenda yeye..
Nkaishia soma ECA,then degree ya uhasibu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha kwanza ni nidhamu na muda na pesa.Good utakuwa Na dondoo kidogo za ujasiriamali!!
Nikitaka niwe successful business man nizingatie nn
DJ sepetu
Madude[emoji23] [emoji23] tutarudi!Cha kwanza ni nidhamu na muda na pesa.
Pili,lazma uwe na plans,,biashara yyte iwe successful lazm u-forecast gharama na mapato unayoyategemea..na pia uwe na plan B ambapo usikubali kuifata mpka uwe umeshajaribu na kujaribu plan A na una ona hai-work out!
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nimuulize maswari yangu mchache ila naomba univumilie na naomba ushirikiano wako
Muombe ruhusa muosha rungu.Naomba nimuulize maswari yangu mchache ila naomba univumilie na naomba ushirikiano wako
Usihofu huwa namsaidia akimaliza maswari yake na anajua.
Wewe ni mwanamke wa aina gani?
Asante......
watasubirije wakati nafasi iko vacant, au hutaki
Wa mitandaoni ndo siwatakiwatasubirije wakati nafasi iko vacant, au hutaki
Ukiwa wewe ni mtoto wa kiislam na unajua dini, je huna kinyongo mumeo kuja kuolewa mke wa pili? Au wewe uolewe mke wa pili?
kwa hiyo pm inahusika hapa au