byongo
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 827
- 1,945
Nlichagua kusoma biashara sababu mwl wangu wa science alikua mkaliii na ana watu wake anaowapenda yeye..Hongera!
Taaluma yk ni IPI!?
Kwanini uliichagua
DJ sepetu
Nkaishia soma ECA,then degree ya uhasibu..
Sent using Jamii Forums mobile app