Mrembo byongo live on muosha rungu TV show!

Sina chura

Natembea natikisa mabega na mgongo..

Hayaa mmeongezeka kilo ngapi kwa hili jibu?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio lazima kujibu kile unacho ulizwa, ingawa kimsingi hilo swali la chura limekaa kikushoto, lakini ulipaswa kulijibu politely ama kulipuuza.
Hapa hakuna mwenye kuhitaji kuujua undani wako, zaidi ni kujifurahisha na kuona upeo wako wa kufikiri.
Don't panic bhana
 
[emoji122] [emoji122]

DJ sepetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…