Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1.Ningefuta vyama vya upinzani (I'm sorry chadema ppo)Ungekuwa rais je ni jambo gani la kwanza ungefanya
DJ sepetu
OK!1.Ningefuta vyama vya upinzani (I'm sorry chadema ppo)
2. Ningepeleka elimu na maji mkoani nlipotokea
3.Ningefanya mabadiliko makubwa ya kupunguza kodi kwenye mapato na ningekomoa kodi za vtu kama za pombe,sigara,condoms
4.Ningewaongeza mishahara walimu yan ningewapendelea
5.Ningetoa tax holiday,,, asietaka invest Tz na aache.
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa wanafanyeje watakaovutiwa na hii interview na wakataka pazia lifunguliwe?
Haha sijuiOK!
Unadhani rais aliye madarakani hapendi kufuta vyama hivi!
DJ sepetu
JF kuna watu wengi tu jamn wadada wenye kujielewa..sasa wanafanyeje watakaovutiwa na hii interview na wakataka pazia lifunguliwe?
Siku zuri kwako ikoje!Haha sijui
Ila nahisi katiba itanibana kama nkiwa raisi ( haitakaa itokee,I HATE politics)
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku nkila chakula kizuriSiku zuri kwako ikoje!
DJ sepetu
Hebu tuambie chakula kizuri kwako kikojeSiku nkila chakula kizuri
Napenda sana kula jamn,,sio kula ilimradi,kula VIZURI
Sent using Jamii Forums mobile app
haya dadaJF kuna watu wengi tu jamn wadada wenye kujielewa..
Kwangu nikiwafungia mlango,mwngine atawafungulia..
Got that?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kataa neno usikatae wito![emoji23] [emoji23]JF kuna watu wengi tu jamn wadada wenye kujielewa..
Kwangu nikiwafungia mlango,mwngine atawafungulia..
Got that?
Sent using Jamii Forums mobile app
Goverment style or doggy style[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Naona tumbo langu limemtishaUsikate tamaa mapema amesema anataka mtu serious[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
1.Ningefuta vyama vya upinzani (I'm sorry chadema ppo)
2. Ningepeleka elimu na maji mkoani nlipotokea
3.Ningefanya mabadiliko makubwa ya kupunguza kodi kwenye mapato na ningekomoa kodi za vtu kama za pombe,sigara,condoms
4.Ningewaongeza mishahara walimu yan ningewapendelea
5.Ningetoa tax holiday,,, asietaka invest Tz na aache.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa ana group la tabia mbaya whatapp, pia wana interview za hivyo(kitimoto), na alinitoa baada ya kukwepa kujitambulisha na kutaka kufanyiwa interview.We are tired of your non- logical interviews
Sent From My Nokia Ya Tochi
Napenda sana ndizi nyama za nazi (zile ndizi za wachaga)..Hebu tuambie chakula kizuri kwako kikoje
DJ sepetu
Huu wito wa mitandaoni kwa kweli...Kataa neno usikatae wito![emoji23] [emoji23]
DJ sepetu