Mrembo Julitha Kabete

Mrembo Julitha Kabete

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
WhatsApp%2BImage%2B2016-11-17%2Bat%2B13.48.39.jpeg




MWAKILISHI wa Tanzania katika mashindano ya Miss Afrika, Julitha Kabete ameondoka leo kuelekea nchini Nigeria katika fainali ya michuano hiyo inayofanyika Novemba 26 mwaka huu huku akiwaahidi watanzania kwua ataipeperusha vyema bendera ya Tanzania .

Akizungumza kabla ya kuondoka kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Kabete amesema kuwa lengo lake ni kuwa mmoja wa wawakilishi bora katika shindano hilo na kuitangaza vyema nchini pamoja na kurudi taji hilo na kwa kupitia kampuni ya Millen Magese Group chini ya Mkurugenzi wake ,Happiness 'Millen' Magese ameshukuru kwa kuingia nae mkataba ili aweze kushiriki michuano hiyo na kufanya Kazi nyingine za urembo.

"Mimi kama mwakilishi wa Tanzania nitahalikisha anafanya vizuri katika shindano hilo, ambalo nimepata nafasi ya kuwa mpeperusha bendera wa nchini yangu Tanzania " amesema. Kabete alikabidhiwa bendera ya taifa na Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye.
 
Mtu pekee ambaye anaipeperusha Tz na kututoa kimasomaso ni Diamond tu..........

Football ovyo

Miss ovyo

Kabadi ovyo

Boxing ovyo

Riadha ovyo

Basketball ovyo

Music= Diamond ndo ametuwakirisha hao wengne wanamaliza bajeti ya wizara tu...........

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
Mabinti wa TZ ni wazuri unapozungumzia uzuri katika mitazamo tofauti.Hiyo ndio inayoifanya TZ kuwa unique kuanzia kusini mpaka kaskazini, mashariki mpaka magharibi
 
Back
Top Bottom