Kivipi Mkuu hebu tupe ujuzi?
Kaolewa jamani? Nipe namba yake ya simu!
Yaani nimegundua ukifanya biashara yoyote ambayo wateja wake ni wanawake kwa asilimia kubwa lazima ifanikiwe.
Upo sahihi kabisa mkuuYaani nimegundua ukifanya biashara yoyote ambayo wateja wake ni wanawake kwa asilimia kubwa lazima ifanikiwe.
Mmh, pesa bwana zinafuata kwa walio nazo tayari, huo ndio ukweli.Kaolewa na ana mtoto. Mme wake ni rapper Travis scott.
Ahahahahaha usomage kwanza wenzako wameandika nn huyo sio mwanafunzi wa o levo pia sio masikini ni billionea
Family ya Kardashian inahusishwa na ushetani kwa % 100.Unataka kusema Kylie na mark ni mapepo/majini yaliovaa miili ya kibinadamu Joasi
Yaani nimegundua ukifanya biashara yoyote ambayo wateja wake ni wanawake kwa asilimia kubwa lazima ifanikiwe.
Lakini msisahau Kylie is another Kardashian, ambapo hata wakianza kuuza viberiti hivi hivi na slogan "Lighting With Kardashian" hesabu watapiga tu pesa!!Sio ilo tu, bali biashara inayofanywa na mwanamke ni virahisi sana kufanikiwa. Kuna kipind mji fln hv palitokea mwanamke anaeendesha pikipiki, daah alikua anapata wateja wengi sana. Sema wengi wao ufikiri unakua mdogo na ndo maana hawatajiriki