brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Kwa mujibu wa Forbes mrembo na binti mdogo kabisa katika familia ya Kardashian, Kylie Jenner ameweka record ya kuwa Bilionea mdogo zaidi kuwahi kutokea Duniani akiwa na miaka 21 tu
Akipiku record ya mwanzilishi wa Facebook Mark Zuckerberg ambae alikuwa anashilikilia ya record ya kuwa Bilionea mdogo zaidi Duniani akiwa na miaka 23.
Utabiri wa Kylie Jenner umetokana na bidhaa zake za "Kylie Cosmetics" akiuza make up. Forbes wanasema Kylie anaingiza zaidi ya £274 kwa mwaka kutokana na uuzaji was make up.
Sent using Jamii Forums mobile app