Mrembo Kylie Jenner awa Bilionea mdogo zaidi duniani avunja Record ya Mark Zuckerberg

Mrembo Kylie Jenner awa Bilionea mdogo zaidi duniani avunja Record ya Mark Zuckerberg

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Kwa mujibu wa Forbes mrembo na binti mdogo kabisa katika familia ya Kardashian, Kylie Jenner ameweka record ya kuwa Bilionea mdogo zaidi kuwahi kutokea Duniani akiwa na miaka 21 tu

Akipiku record ya mwanzilishi wa Facebook Mark Zuckerberg ambae alikuwa anashilikilia ya record ya kuwa Bilionea mdogo zaidi Duniani akiwa na miaka 23.

Utabiri wa Kylie Jenner umetokana na bidhaa zake za "Kylie Cosmetics" akiuza make up. Forbes wanasema Kylie anaingiza zaidi ya £274 kwa mwaka kutokana na uuzaji was make up.

Screenshot_20190306-100638~2.jpeg
Inst-image.jpeg
Inst-image-1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani nimegundua ukifanya biashara yoyote ambayo wateja wake ni wanawake kwa asilimia kubwa lazima ifanikiwe.

Sio ilo tu, bali biashara inayofanywa na mwanamke ni virahisi sana kufanikiwa. Kuna kipind mji fln hv palitokea mwanamke anaeendesha pikipiki, daah alikua anapata wateja wengi sana. Sema wengi wao ufikiri unakua mdogo na ndo maana hawatajiriki
 
Miaka 21 ana mtoto..... atapata shida sana maishani

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu huyo sio mdangaji kama videm vya kibongo vinavyowadangia na kuwachuna ma brothermen ambao weng unakuta wana vijihela ambavyo sio vyao, aidha wanapewa na wazazi wao au mashuga mami wao au wanatoa kwenye boom lao la chuo. Huyu ni smart girl. Ana mkwanja sio poa.
 
Yaani nimegundua ukifanya biashara yoyote ambayo wateja wake ni wanawake kwa asilimia kubwa lazima ifanikiwe.
Sio ilo tu, bali biashara inayofanywa na mwanamke ni virahisi sana kufanikiwa. Kuna kipind mji fln hv palitokea mwanamke anaeendesha pikipiki, daah alikua anapata wateja wengi sana. Sema wengi wao ufikiri unakua mdogo na ndo maana hawatajiriki
Lakini msisahau Kylie is another Kardashian, ambapo hata wakianza kuuza viberiti hivi hivi na slogan "Lighting With Kardashian" hesabu watapiga tu pesa!!
 
Back
Top Bottom