Mrembo live interview on muosha rungu show

Uuwi misimu miwili ayo mengine siwez andika sorry
Changamoto ni zipi ktk kilimo cha tikiti ulianza Na tsh ngapi kama mtaji
Kilimo kimekusaidiaje kuwa financially free!

DJ sepetu
 
Changamoto ni zipi ktk kilimo cha tikiti ulianza Na tsh ngapi kama mtaji
Kilimo kimekusaidiaje kuwa financially free!

DJ sepetu
Nlianza na mtaji wa 150000 .....kwa hekal moja tu.....kilimo kinalipa ila inakubidi uwe mvumilivu......changamoto nyingi
 
Mara paaapu nimekuta interview ipo online
daah kweli leo nyota imen'gaa maana huwa naishia kupitia makombo tu kila siku ,sasa leo mguu kwa mguu kupata mawili matatu kutoka kwa warembo wa jf ,

Habari zenu member wa muosha rungu show ,mimi member mpya kwenye nyuzi za interview nipokeeni jamani
 
Nlianza na mtaji wa 150000 .....kwa hekal moja tu.....kilimo kinalipa ila inakubidi uwe mvumilivu......changamoto nyingi
Unawaambia nn wasomi wenye vyeti ila hawana ajira!
Je kila mtanzania hasa kijana ategemee kilimo
Kwa maoni yako fursa zipi zingine zenye manufaaa

DJ sepetu
 
Karibu mgeni ngoja wakutoe kamba ya kuku mgeni!

DJ sepetu
 
Unawaambia nn wasomi wenye vyeti ila hawana ajira!
Je kila mtanzania hasa kijana ategemee kilimo
Kwa maoni yako fursa zipi zingine zenye manufaaa

DJ sepetu
Napenda kuwaambia kwamba wasikate tamaa na wasidhani kwamba maisha yao ndo yameishia hapo ......watafute mitaji wajiajiri tu .....mtu hata kama una mtaji wa elfu 50 unaweza kuanza taratibu na mwisho wa siku ukawa millionea...kikubwa kua na nidhamu ya pesa. .....kupunguza matumizi yasiyo ya lazima hii itawasaidia....kubwa zaidi ni kumshirikisha mungu kwa yote watakayokua wanayafanya kuelekea ktk safari yao hyo
 
Good advice!
Hope una mpenz werevaa mume?
Ulianza mahusiano ya kikubwa ukiwa darasa la ngapi!?

DJ sepetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…