Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Sijafunga ndoa....Hahaha Huyo ndiye alikuwa wa kwanza eti!
Ndiye uliyenae hadi sasa?
Umefunga ndoa?
DJ sepetu
Siye niliyenae
Nliachana nae mda kidgo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijafunga ndoa....Hahaha Huyo ndiye alikuwa wa kwanza eti!
Ndiye uliyenae hadi sasa?
Umefunga ndoa?
DJ sepetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nalala kidogo,akija mtaniamsha.
hahahah acha uchochezi
Aisee inasikitisha sanaSijafunga ndoa....
Siye niliyenae
Nliachana nae mda kidgo
Mi sijambo bhana afu hebu hizi interview uwe unafanya kila siku tupate kupepesa machoLinamo karibuuuu hujambo mpenziiiiiii
DJ sepetu
Acha mambo za mombasa mazee ,Umeolewa?tuanzie hapa kwanza
Karibu swahibaDadiyo nimechelewa kufika lol.
Mzima dada akeeDadiyo nimechelewa kufika lol.
Sifa ya kwanza awe na hofu ya mungu....sifa nyingne asiwe mlevi asiwe mchafu.....Aisee inasikitisha sana
Unapochagua Na kuishi Na mwanaume nini sifa kuu utakazo!?
Kwann uliachana Na aliyekufundisha mapenzi?
Ni kweli huwa mwanamke hamsahau aliyevunja Nazi?
DJ sepetu
Hahaaaaaaa nataka tupambane tu na hali zetu maana hakuna namna[emoji28] [emoji28]Hahaha you must be kidding!
DJ sepetu
Kisa jana ulikua haupo tulikua na linamo na sakayo acha tuEtiii. Kisa cha kukufanya usije wakati jf ya wote dada.
Kwanini umekatika utii wa mgongo?? Tuje hapaAcha mambo za mombasa mazee ,
CuzooooMuosha rungu nakusalimia
Cuzoo miss you[emoji8]Kisa jana ulikua haupo tulikua na linamo na sakayo acha tu
Unataka Na ungependa mwanaume akupende kwa kipi zaidi tabia au umbo Na sura!?Sifa ya kwanza awe na hofu ya mungu....sifa nyingne asiwe mlevi asiwe mchafu.....
Nliachana nae kwa sababu ya umbali tuliokuanao baina yetu mimi na yeye
...si kweli kwamba hawezi kumsahau ....binafsi namkumbuka jina na sura tu vingne sikumbuki