Mrembo Loveness Tarimo anazidi kutrend Instagram, jinsia yake bado kitendawili wengi hawaamini

Mrembo Loveness Tarimo anazidi kutrend Instagram, jinsia yake bado kitendawili wengi hawaamini

Mrembo Loveness Tarimo ambaye ni Miss Fitness 2019 amezua gumzo kuhusiana na jinsia yake.

View attachment 2812134
Wengi hawaamini kama Love ni mwanamke kulingana na namna anavyojiweka ,sauti yake ,kifua chake ,mpaka koromeo pia limekata kiume.

Loveness anajihusisha na mambo ya body training ,yeye ni body trainer anadai ameshachumbiwa tayari licha ya wanaume kadhaa kumfuata kwa nia ya kutaka penzi kutoka kwake lakini amekuwa akiwakatalia maana tayari ana mpenzi wake na wanapendana sana ,mpenzi wake pia ni mtu wa mazoezi kama alivyo yeye.

Kikubwa ninachompendea Loveness ni majibu yake kwenye interviews kadhaa anazofanyiwa ,majibu yake yapo vizuri sana japo wanaomfanyia hizi interviews wana maswali ya hovyo sana kiasi kwamba angekuwa mwingine si rahisi kuvumilia na kuendelea kutoa ushirikiano.

Pia hata kwenye account yake ya Instagram licha ya watu kadhaa kumdhihaki ila yeye wala hana hiyana ana wajibu kiupendo tu.

View attachment 2812131View attachment 2812132View attachment 2812133
Tumevamiwa🤣🤣🤣
 
Waandishi wa habari kazi zao ni kueneza ushetani.
Huyu dada ibilisi kamharibu, sasa waandishi wetu wanapompa promo humpigia debe ibilisi azidi kuharibu vijana wengine.
Huyu ni sawa na mwanaume aliyeukana uanaume na kuwa shoga.
Mi tom boy ni janga jingine ambalo ibilisi amelitakasa katika jamii
Naungana na wewe na kwa bahati mbaya watampa promo sana.
Tunawajua walio nyuma yale naalengo yao ni yale yale machafu.
 
Waandishi wa habari kazi zao ni kueneza ushetani.
Huyu dada ibilisi kamharibu, sasa waandishi wetu wanapompa promo humpigia debe ibilisi azidi kuharibu vijana wengine.
Huyu ni sawa na mwanaume aliyeukana uanaume na kuwa shoga.
Mi tom boy ni janga jingine ambalo ibilisi amelitakasa katika jamii
Eti anasema anamchumba wakati kwa akili za kawaida kbs unaona huyo ni msagaji pure.
 
Huyu watu watakataa Ila Ni mwanaume huyu hata kifua kinaonesha Ni mwanaume.
 
Waandishi wa habari kazi zao ni kueneza ushetani.
Huyu dada ibilisi kamharibu, sasa waandishi wetu wanapompa promo humpigia debe ibilisi azidi kuharibu vijana wengine.
Huyu ni sawa na mwanaume aliyeukana uanaume na kuwa shoga.
Mi tom boy ni janga jingine ambalo ibilisi amelitakasa katika jamii
Umeandika kidini sana mkuu. Huu ni upuuzi wa hizi media zetu zilizojaa waandishi failure wasiojua ethics za Jamii yetu.
 
Mzee wake akampa jina LOVENESS

Aisee ,watoto wakizaliwa ktk ukamilifu wa gender zao halisi yakupasa kumpigia MUNGU MAGOTI KILA SIKU.
 
Back
Top Bottom