Mrembo Loveness Tarimo anazidi kutrend Instagram, jinsia yake bado kitendawili wengi hawaamini

Tumevamiwa🤣🤣🤣
 
Naungana na wewe na kwa bahati mbaya watampa promo sana.
Tunawajua walio nyuma yale naalengo yao ni yale yale machafu.
 
Eti anasema anamchumba wakati kwa akili za kawaida kbs unaona huyo ni msagaji pure.
 
Huyu watu watakataa Ila Ni mwanaume huyu hata kifua kinaonesha Ni mwanaume.
 
Umeandika kidini sana mkuu. Huu ni upuuzi wa hizi media zetu zilizojaa waandishi failure wasiojua ethics za Jamii yetu.
 
Mzee wake akampa jina LOVENESS

Aisee ,watoto wakizaliwa ktk ukamilifu wa gender zao halisi yakupasa kumpigia MUNGU MAGOTI KILA SIKU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…