Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
HhhhhaaaaaKumbe nimejibu mimi? Sijaona
Maserati, km ikitokea mwenyezi Mungu kakuita, ungependa JF members na watanzania kwa ujumla wakukumbuke kwa lipi?Bachelor Degree
Moja kati ya machache niliowahi kujifunza ni..... jinsi ya kusoma uwezo wa mtu kwenye IQ ni, pamoja na usahili na maswali ya papo kwa papo.Uko sahihi, Maserati sio wa vituswali vidogo hivi
Hutakiwi kujibu kila kitu bila kujua umetegwa wapi..majibu yanaweza kukufunga kwa swali linalofuataMoja kati ya machache niliowahi kujifunza ni..... jinsi ya kusoma uwezo wa mtu kwenye IQ ni, pamoja na usahili na maswali ya papo kwa papo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumbe nimejibu mimi? Sijaona
Ushauri mzuri hasa katika mambo ya kibiasharaMaserati, km ikitokea mwenyezi Mungu kakuita, ungependa JF members na watanzania kwa ujumla wakukumbuke kwa lipi?
OK..ila ungejibu sio au ndio, af nimeuliza maswali 5 wewe umeona moja.Una wasiwasi na mtu usie mfahamu??
Ni vizuri kujifanya unamfahamu mtu,lakini si vizuri kuandika usio yajua kuhusu yeye. Mimi si mchana na elimu yangu ni bachelor degree.
Lazima nikuelekeze,inawezekana umeelekezwa vema na wazazi lakini kuna machache wamesahau sio mbaya walimwengu tukakuambia.OK..ila ungejibu sio au ndio, af nimeuliza maswali 5 wewe umeona moja.
young kilimanjaro
alafuuu weweHayanihusu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]alafuuu wewe
Baby nimerudi are you okay!!?Lazima nikuelekeze,inawezekana umeelekezwa vema na wazazi lakini kuna machache wamesahau sio mbaya walimwengu tukakuambia.
BTW
Hapana sitaki kuwa mwanasiasa.
Nchi inaelekea kubaya sana,uchumi unazorota mno. Wananchi hawatendewi haki na demokrasia inabakwa.
Nisubiri babuNilianza kufuatilia hii interview mwanzoni... nikapotea baada ya kuona aina ya maswali anayoulizwa.
Nimerudi ili nione kama mwelekeo umebadilika lakini naona mwendo ni uleule...
Nampongeza Maserati kwa kuwa na moyo wa uvumilivu kujibu maswali kama haya... tena so openly.
Maserati si mtu wa kumuuliza viswali vya kitoto namna hii...
She is better than that...
Kwaherini wajukuu zangu
Saaaana ht anaeulizwa sijamuelewa,ana moyo sana
Wapi hukonjooo home kwanza