RAGNAR LOTH
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 698
- 1,589
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nawahi kukubook maserati..Hapana,sina.
Kikubwa nachokikumbuka kuhusu background yangu ni ujasiri tu.
1.Ningebadilisha katiba na sheria zake. Katika iwe huru na sheria Kali zenye manufaa kwa watanzania.Maserati : Ningekuwa Mkulu,
1.Wanafunzi wenye mimba wangejifungulia magerezani,
2.Wapiga debe wote ningewasweka gerezani wakazalishe.,
3.Mikoa yote ingejitegemea kimapato na bado ingechangia serikali kuu, mkoa ambao ungeshindwa kujiendesha ningefunga mipaka yote ya kutoka ili wafe njaa.
4.Hospitali zote na vyuo vikuu vyote ningebinafsisha kwa mkataba maalumu.
5.Ofisi zote za serikali na umma zingefanya kazi saa 24 kwa lazima.
Wewe ungekuwa Mkulu ungefanya maamuzi gani matano tu ya kushangaza.?
Shoga mbona hujanipitia kwenda msibani?1.Ningebadilisha katiba na sheria zake. Katika iwe huru na sheria Kali zenye manufaa kwa watanzania.
2.Ningepunguza kodi kwa wauza pembejeo na ruzuku za kilimo na ufugaji. Ili kilimo na ufugaji iwe nyanja yenye mafanikio kwa watanzania.
3.Ningefuta ada na kuboresha mshahara ya waalimu Ili elimu itakayotolewa shule za serekali izidi za elimu binafsi na kuwafikia watoto wengine,pia kuboresha miundombinu yote yanayohusu elimu,kma kuwekeza katika mazingira ya watoto wanaosoma mbali na shule zao.
4. Kuboresha sekta za uchumi na kubuni vitu vipya vitakavyoongezea serekali mapato despite kuvitegemea sigara na pombe tu.
5.kuboresha miundombinu ya nchi kama Barabara,maji,Umeme,Huduma za afya hospital na zahanati na kila kitu kinachomuhusu mwananchi.
DarWA MKOANI AU WA DAR?
Ha ha ha ha. Kwanza samahani,then usipende kukera watu. Ni kweli niliku ignore kabisa kile kitufe cha ignore. But always yaliyopita si ndwele.Maserati : Unaongea lugha ngapi? ( Ulishawahi nitusi kwa kireno kama sio kiispaniola ), ulijifunza vipi, na zinakusaidiaje ?
Msiba wa nani shoga angu?