Mrembo maserati interview! Live

Mrembo maserati interview! Live

Maserati : Ningekuwa Mkulu,

1.Wanafunzi wenye mimba wangejifungulia magerezani,

2.Wapiga debe wote ningewasweka gerezani wakazalishe.,

3.Mikoa yote ingejitegemea kimapato na bado ingechangia serikali kuu, mkoa ambao ungeshindwa kujiendesha ningefunga mipaka yote ya kutoka ili wafe njaa.

4.Hospitali zote na vyuo vikuu vyote ningebinafsisha kwa mkataba maalumu.

5.Ofisi zote za serikali na umma zingefanya kazi saa 24 kwa lazima.

Wewe ungekuwa Mkulu ungefanya maamuzi gani matano tu ya kushangaza.?
 
1.Ningebadilisha katiba na sheria zake. Katika iwe huru na sheria Kali zenye manufaa kwa watanzania.

2.Ningepunguza kodi kwa wauza pembejeo na ruzuku za kilimo na ufugaji. Ili kilimo na ufugaji iwe nyanja yenye mafanikio kwa watanzania.

3.Ningefuta ada na kuboresha mshahara ya waalimu Ili elimu itakayotolewa shule za serekali izidi za elimu binafsi na kuwafikia watoto wengine,pia kuboresha miundombinu yote yanayohusu elimu,kma kuwekeza katika mazingira ya watoto wanaosoma mbali na shule zao.

4. Kuboresha sekta za uchumi na kubuni vitu vipya vitakavyoongezea serekali mapato despite kuvitegemea sigara na pombe tu.

5.kuboresha miundombinu ya nchi kama Barabara,maji,Umeme,Huduma za afya hospital na zahanati na kila kitu kinachomuhusu mwananchi.
 
Shoga mbona hujanipitia kwenda msibani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maserati : Unaongea lugha ngapi? ( Ulishawahi nitusi kwa kireno kama sio kiispaniola ), ulijifunza vipi, na zinakusaidiaje ?
Ha ha ha ha. Kwanza samahani,then usipende kukera watu. Ni kweli niliku ignore kabisa kile kitufe cha ignore. But always yaliyopita si ndwele.

Back to the question.
Naweza kiswahili,kiingereza,kifaransa na kirusi but sio competent.
 
Back
Top Bottom